WANAFUNZI WA VYUO VIKUU UDSM, IFM, CBE NA DIT WACHUANA VIKALI

 26-05-2023, Infinix ilizindua rasmi quiz show ambayo inahusisha wanafunzi wa vyuo vya Dar es Salaam waliobobea katika maswala ya teknolojia. Show hii itakuwa ikirushwa kupitia mitandao ya kijamii ya kampuni hii @infinixmobile na @simulizinasauti kila wiki mara moja kwa muda wa mwezi mmoja ikiendeshwa na Lil Ommy presenter wa wasafi media.



Tech Quiz inadhaminiwa na Infinix HOT 30 simu mpya ambayo imetoka mwezi huu, feature kubwa ya simu hii ya toleo la kati ni teknolojia ya fast charge yenye wat33. Kwa mujibu wa Afisa Mahusiano Infinix Bwana Eric Mkomoye alidai kuwa, “fast chaji ya HOT 30 na teknolojia ya battery ya simu hii inaokoa muda wakati wa uwekaji chaji lakini pia battery ya hot 30 yenye mAh5000 inaweza kudumu na chaji kwa muda wa siku 2 na zaidi”.

“Tumeandaa mashindano haya ili kuisogeza karibu teknolojia na vijana kwa njia ya burudani   ukiangalia show hii utagundua kuna mchanganyiko wa entertainment na teknolojia ndani yake”.

Endelea kutembelea page zetu za mitandao ya kijamii, hakika Infinix HOT 30 #Kubwayamoto.

Piga namba hii 0745170222 kwa huduma ya haraka kutoka Infinix.


2 تعليقات

  1. قا السلام عليكم

    ردحذف
    الردود
    1. ۈعـْليگمٌ-ٱلسّلٱمّ:ﯙرحـّمَة ٱللـّہ ۈبٌرگـّاتہ الف سلام

      حذف

إرسال تعليق

أحدث أقدم