INFINIX HOT 30 TECH QUIZ, DIT YAENDELEA KUBAKI KELELENI.

 


Kama ilivyo ada kila week tunawaletea update kuhusu TECH QUIZ CHALLENGE ambayo inafanyika katika vyuo hivi vine vilivyo Dar es Salaam navyo ni DIT, IFM, UDSM na CBE, tayari tumeshakwisha kuona kwa week mbili mfululizo ameibuka kidedea kupitia quiz hii ambayo inaletwa kwenu kwa udhamini wa kampuni ya simu Infinix Mobile Tanzania.


Kampuni hii ya simu nambari moja katika soko la simu ambayo inafanya vyema kupitia matoleo yake ya HOT 30 SERIES na NOTE 30 SERIES imekuwa ikitoa fursa nyingi kwa vijana ikiwa ikiwa lengo ni kumfanya kijana aweze kujikwamua kimaisha kupitia teknolojia.

Mtanange utarushwa kupitia mitandao ya kijamii @infinixmobiletz weka notification mana kwa inavyoonekana kuna habari nyingi zinaendelea zenye kuwahusu vijana kupitia mitandao yao ya kijamii.

Infinix HOT 30 ambyo ndio zawadi kubwa kwa chuo kitakachoibuka na ushindi, HOT 30 storage kubwa ikiwa na internal memory ya GB256 ROM + GB 8 RAM, Refresh rate 90Hz, battery 5000mAh, Chipst Helio G88 na kamera kuu 50MP na AI Camera.

3 تعليقات

  1. mkianzakuitoa mnitaarifu hiyo naitaka

    ردحذف
    الردود
    1. Kwa mm binafsi nashukuru sana na ninajivunia kutumia kampunhttps://www.instagram.com/infinixmobiletz/ mko vizuri

      حذف
    2. Hi
      Usijali ninasubiri Pi zangu zihame! Natamani sana zihamishwe!
      Naomba tufanyiwe haraka kuhamishiwa Pi na wale wa KYC zikamilike pls! Pi hoyeee!!!

      حذف

إرسال تعليق

أحدث أقدم