IINSTAGRAM THREAD...?

Habari wana Zoom 


karibu kutoa maoni yako unaionaje hii app ya Instagram thread?

Je inakidhi mahitaji yako ya mitandao ya kijamii?


FREE TALK kwenye comment.


#TechLazima

22 تعليقات

  1. Bado tunaanza kuitumia

    ردحذف
  2. 𝐍𝐢𝐦𝐞𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐮𝐧𝐠𝐚?

    ردحذف
  3. الردود
    1. Najua dunia ni mzunguko lakin walimwengu tusichambane

      حذف
  4. Mtandao uru na uko vizur

    ردحذف
  5. Iko vzr naweza tumia

    ردحذف
  6. Du ngoja tuone

    ردحذف
  7. Nimeipenda mzuri

    ردحذف
  8. Mtu unaunganiswaje kama unaitaka?

    ردحذف

إرسال تعليق

أحدث أقدم