Google imeruhusu mifumo ya malipo ya wahusika wengine nje ya Play store Kusini korea kwa punguzo.

 


Katika ripoti ya The Wall Street Journal, Google inatii sheria mpya za Korea zinazohitaji kampuni kama Apple na Google kuwapa wateja chaguo la kutumia mifumo ya malipo nje ya programu zao za duka la programu.


Hata na makubaliano hay bado google ita watoza ada kwa wale watakao hitaji kuanzisha mifumo yao ya malipo kwenye program zao na nzuri zaidi goolge watawachaji kwa punguzo la ada sahihi ambayo wanastahili kulipa, mfano kwa watangazaji wa redio na tv watalipia 6% badala ya 10% ya ada sahihi kwa program zao, na huku watangazaji wengine watalipia 11% badala ya 15% na kwa watu maarufu watalipia 26% badala ya 30% ya ada sahihi za uendeshaji wa program zao. Na lengo la punguzo hili ni kulipia gharama za kuanzisha mifumo ya ndani.

Mkurugenzi wa sera za umma wa Google Wilson White anahoji kuwa Google bado inahitaji kukusanya ada ili "kuendelea kuwekeza" kwenye Android na Google Play Store ili kulipia maendeleo ya Android, zana za uboreshaji na utafiti wa usalama.
 
Fahamu zaidi kuhusu habari hii kutoka kwenye source kamili kwa kugusa hapa Source 
x

 

 

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi