Fahamu Brands Kumi (10) Zenye Nguvu Zaidi Duniani Na Thamani yake.

 


Brand nyingi duniani zimekuwa zikiwekeza hela nyingi kujipambanua kuwa na zenye kuaminika na kujulikana kulingana na kile brand husika inachojihusisha nacho, Leo Zoom Tech tunakuletea Brands kumi zenye nguvu kubwa mwaka huu wa 2022 kama ifuatvyo;

1. Apple (355,080M USD)

Brand ya Apple ni ya kampuni ya kimarekani inayojihusisha na kutengeneza vifaa vya electronic, kampuni hii ndio inayotengeneza simu za iPhone na bidhaa zao nyingine nyingi kama iPad, iCame na n.k,.

Brand hii ya Apple ndio brand namba moja kwa sasa duniani kote ikiwa na dhamni ya dola za kimarekani Milioni 355,080.


2. Amazon (350,273M USD)

Kampuni ya Amazon.com Inc. inajihusisha na maswala ya teknolojia (American multinational technology company which focuses on e-commerce, cloud computing, digital streaming, and artificial intelligence.) kupitia brand yake ya Amazoni ni ya pili kwa sasa duniani kwa kuwa na thamani ya kimarekani milioni 350,273.


3.Google (263,425M USD)

Google LLC. ni kampuni ya kimarekani maarufu sana duniani kwa brand yake Google, natumaini hata wewe leo umetumia Google (American multinational technology company that specializes in Internet-related services and products, which include online advertising technologies, a search engine, cloud computing, software, and hardware.) 

Brand hii inashika nafasi ya tatu kwa sasa kuwa brand yenye nguvu duniani na thamani yake ni dola za kimarekani milioni 263,425.


4.Microsoft (184,245M USD)

Microsoft Corporation ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na teknolojia ya mputer software, consumer electronics, personal computers, na huduma zinazohusiana. 

Kampuni hii kupitia brand ya Microsoft ina dhamani ya dola za kimarekani milioni 184,245, kifanya kuwa namba nne kwenye mpangilio wa brand zenye nguvu zaidi duniani.


5. Walmart (111,918M USD)

Walmart Inc. pia ni kampuni ya kimarekani inayofanya shughuli zake dunia nzima, kampuni hii inajihusisha na masuala ya retails (American multinational retail corporation that operates a chain of hypermarkets (also called supercenters), discount department stores, and grocery stores)

Imeshika nafasi ya tano kupitia brand yake ya Walmart kwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 111,918.


6. Samsung  (107,284M USD) 

Samsung Group maarufu kwa brand yake Samsung ni kampuni ya kikorea maarufu kwa tengenezaji wa vifaa vya kielekitroniki kama simu janja, Tv, Fridge, n.k (South Korean multinational manufacturing conglomerate)

Brand hii inashika namba sita huku ikiwa brand pekee kutoka nje ya marekani iliyoshika nafasi ya juu kwa thamani yake ya dola za kimarekani milioni 107,284.


7. Facebook (101,201M USD)

Kampuni ya Meta Platforms, Inc. ambayo hapo mwanzo ilijulikana kwa jina la Facebook inamiliki mitandao ya kijamii maarufu kama Facebook, Instagram, nk (American multinational technology conglomerate based in Menlo Park, California. The company is the parent organization of Facebook, Instagram, and WhatsApp, among other subsidiaries)

Kupitia brand yake ya Facebook  imeweza kushika nafasi ya saba kwa kuwa na dhamani ya dola za kimarekani milioni 101,201.


8.ICBC (75,119M USD)

Industrial and Commercial Bank of China Limited ni kampuni ya kimataifa kutokea china inayojihusisha na masuala ya kibenki. (multinational Chinese banking company.) 

Hii ni brand ya kwanza kutoka china kutokea kwenye list ikiwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 75,119.


9.Huawei (71,233M USD)

Huawei Technologies Co., Ltd. ni kampuni ya kichina pia inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya kielektroniki kama simu, Tv, nk. (It designs, develops and sells telecommunications equipment, consumer electronics and various smart devices)

Brand hii ni ya pili kutoka china kwenye list ikiwa na thamani ya dola za kimarekani  milioni 71,233.


10. Verizon (69,639M USD)

Verizon Communications Inc. Ni kampuni ya kimarekani maarufu kama Verizon inajihushisha na masuala ya telecommunications conglomerate na corporate component (American multinational telecommunications conglomerate and a corporate component of the Dow Jones Industrial Average)

Brand ya Verizon ina thamani ya dola za kimarekani milioni 69,639 kuifanya kushika namba kumi kwenye list hii.

Je ni brand gani unatamani kufahamu inashika namba ngapi na ina thamani gani? tujulishe nasi tutakupa majibu papo kwa hapo.

#TechLazima 

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi