Njia sahihi ya kudownload video za youtube kwa simu na laptop yako.

 


Njia rahisi ya ku download video hizo ni kupitia app ya tubemate. Tubemate ndiyo app nzuri ya kudownload video hizo.


Hatua za ku-download
Ingia katika tovuti ya tubemate {tubemate.net} kisha download application ya tubemate youtube downloader.
Kabla ya ku install ruhusu apps kutoka vyanzo visivyojulikana "apps from unknown sources" nenda settings>>security>>unknown sources
Install app yako kisha tafuta video uipendayo kwa ajili ya kudownload.

kujua namna ya kutumia tubemate app soma hii
Jinsi ya ku download video za Youtube kwa kutumia Tubemate app

Kumbuka
App ya tubemate haipatikani katika Google PlayStore.

Namna nyingine ya kudownload ni kutumia program ya savefrom.net hii Ina uwezo wa kudownload videos zote kutoka YouTube, Instagram au Facebook.

Kwanza copy link ya video unayotaka kudownload video yake Kisha fungua App ya Google chrome kwenye simu yako Kisha search "Savefrom.net" Kisha kwenye weka link uliyocopy sehemu ya video unayopenda itafunguka na kuonesha namna ya kudownload.

Endelea kufuatilia ukurasa wetu kwa njia nyingine za kudownload YouTube videos kwenye PC.

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi