Xiaomi imekua ni simu inayo ongoza katika kila takwimu za wadau wengi na sasa imeendelea kushika chati na kuongoza katika nafasi tatu za mwanzo kwenye TOP 10 ya awamu hii, sasa nimuda rasmi wa kuanza hili shindano na kuangalia simu zinazoongoza kwa pande zote yaani mauzo na pia kwa kua na wafuasi wengi sana ulimwenguni kwa ujumla.
Xiaomi Note 11 pro+ inaendelea kutawala jukwaa kwa week hii na kufatiwa na Note 11 Pro kutoka Xiaomi pia huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Xiaomi.
SIMU 10 BORA ZINAZO VUMA KWA WEEK HII
zifuatazo ni list za simu zinazo vuma week hii.
1. Xiaomi Redmi Note 11 Pro+
2. Xiaomi Redmi Note 11 Pro
3. Xiaomi Poco M4 Pro 5G
4. Samsung gallaxy A52s 5G
5. Apple iPhone 13 Pro Max
6. Xiaomi Redmi Note 10 Pro
7. Samsung Gallaxy S21 Ultra 5G
8. Xiaomi Poco X3 Pro
9. Samsung Gallaxy A12
10. Google Pixel 6 Pro
kaa tayari kwa 10 bora ze week ijayo.
TechLazima.
Chapisha Maoni