Kuvuja kwa makava ya Xiaomi 12 Pro imekua mzozo kwa wataarishaji wa simu hizi, kwani makava haya yametolewa na mtaarishaji nguli wa Xiaomi na ndie alie ya sambaza na watu sasa kupata picha kamili ya aina ya muundo wa kamera za xiaomi 12 pro,
Jana tarehe 12 ndio ili kuwa siku rasmi ya kuzindua simu hii ya Xiaomi 12 ambapo uvumi ulitanda na ukasambaa na kuwaweka waandishi na wafuatiliaji wa teknolojia macho wazi juu ya ujio wa simu hii, na hivyo mbadala ikatoka makava na muundo wakamara unaoonesha muonekano halisi wa simuu hii na pia simu yenyewe kuonekana sasa.
endelea kufuatilia page za Zoom Tech kwa taarifa zaidi juu ya matoleo haya ya Xiaomi.
Tech Lazima.
Chapisha Maoni