SIMU YA KWANZA KUA NA 200MP MWAKA 2022



Motorola inatarajiwa kuwa simu ya kwanza kwa mwaka 2022 kutoa toleo lenye uwezo wa kamera kubwa kuliko makampuni mengine yote.

kampuni ya motorola inatarajia kutoa simu yenye uwezo wa 200MP wa kamera ambayo ni rekodi mpya itakayo andikwa kwa makampuni ya simu.

kutokana na tetesi zinazo endelea kuvuma mpaka sasa nikua makampuni mengi yameshaandaa na kufanyia kazi mabadiriko haya ya kuongeza nguvu na ufanisi wa kamera na kuongeza uwezo hadi 200MP ila wengi watatoa kati kati ya mwaka na wengine hata mwisho wa mwaka kwani tayari kuna makampuni yanaendelea kutamba na 108MP kwenye matoleo yao mapya.

Motorola inatarajia kutoa simu hii mnamo H1 kwa 2022, huku kampuni nyingine ikiwemo Xiaomi nayo ina sikika kua itatoa simu yenye uwezo wa kamera hiyo katikakti ya mwaka 2022 japo uvumi ulisikiksa kua Xiaomi Redmi 12 ndio inaweza kuja na 200MP ila imewekwa wazi na kua simu hii itakuja na 50MP tuu.

huku Moto Edge X inatarajiwa kutoka mwisho wa nusu ya mwaka wa 2022 na bado hazija sikika tetesi nyingine ya utowaji wasimu nyingine kwa motorola ukiacha hii Edge X sasa je uvumi huu wa 200MP unatarajiwa kua kwenye simu hii inayotoka mwisho wa nusu mwaka wa 2022 au tutarajie nn zaidi.

mkanganyiko kwa kampuni za simu umekua mgumu na unawapa uakakini watumiaji wa simu na wafuatiliaji wa matoleo haya.

Chakufanya usiache kueendelea kufuatilia page zetu za Zoomtech ili kupata kila tetesi za teknolojia na maendeleo ya makampuni ya simu.

muendeleo juu ya 200MP kwa makampuni ya simu tutayatoa soon.

Karibu kwenye kurasa zetu na endelea kufuatilia kurasa hizi.


TechLazima


Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi