Hatimaye samsung na Tecno wameungana sasa na tecno inapokea program kutoka kampuni ya samsung kwa upande wa kamera kwa matoleo yafuatayo yoote ya Tecno, hii ni habari njema kwa watumiaji wa tecno na pia kwa kampuni hii itakua imejitoa kwenye enoe moja na kujiweka kwenye eneo la juu na laubora zaidi, kwani hapo mwanzo kamera za tecno zimekua ziki shuka na kupungua uhalisia jinsi unavyotumia na kwa kawaida kutoka kwa mrejesho wa watumiaji wengi zaidi wa tecno wamekua wakikiri na kusema kua simu hizi hazina ubora upande wa kamera ukilinganisha na simu za samsung kwaani samsung kamera yake haipungui ubora kwa haraka na pia ina vitu vingi ambavyo vinafanya picha inatoka vizuri zaidi.
Samsung imeungana na Tecno katika kutoa na kushirikiana kwenye Sensor ya kamera ambayo ni RBGW kwa matoleo ya mbeleni ya simu za Tecno.
RBGW :
hii ni aina ya juu zaidi kwa teknolojia ya touch, sensor zake zinakuja kwa rangi nne ambayo ni NYEKUNDU, KIJANI KIBICHI, BLUU NA NYEUPE, Sensor hii inaaminika kwa kutoa utendekaji bora wa mwanga wa chini na pia kutoa picha bora zaidi na zenye utofautishaji wa hali ya juu zaidi.
Pia mwaka ujao, kampuni inataka kutambulisha simu ya kwanza ya Android yenye uthabiti wa picha ya sensor shift (IS). Aina hii ya IS ilitumiwa kwa mara ya kwanza kwenye simu na Apple iliyokuwa na iPhone 12 Pro Max na ilipitishwa na aina zote za mfululizo 13. Simu za sasa za Android (hata zile zilizo na uthabiti wa gimbal) husogeza lenzi ya kamera ili kuleta utulivu wa picha.
Kama jina linavyopendekeza, mabadiliko ya kihisi IS husogeza kihisi badala yake, ambayo huiruhusu pia kusahihisha mhimili wa kusongesha (jambo ambalo haliwezi kufanywa kwa kutumia lenzi ya IS). Video hapa chini inapaswa kuifuta. Tecno inasema kuwa teknolojia ya kubadilisha sensorer pamoja na algoriti mpya itaboresha usahihi wa uimarishaji wa picha kwa 350% ikilinganishwa na suluhu za sasa.
Toa maoni yako hapa unadhani tecno ita boresha simu zake? au samsung itapoteza wateja wake kwani bei za samsung nikubwa kidogo kulinganisha na bei za tecno na hivi sasa wateja watakua wanapata ambacho kipo kwa samsung kwa tecno nini maoni yako kwenye hili?
Endelea kufuatilia kurasa za zoom Tech kwa update za kila saa.
Source
Chapisha Maoni