Whatsapp : sasa Unaweza kusikiliza Voice Note kabla ya kutuma.

Rasmi sasa whatsapp ina kuruhusu kusikiliza Voice Note yako kabla ya kuituma.



hii ni update mpya iliyo toka tarehe 14, December, Update hii imekua ni nzuri na watumiaji wengi wa simu wamefurahishwa nayo kutokana na matumizi yake, kwani hapo awali ilikua ni ngumu mtu kusikiliza voice note kabla huja tuma yaani ilikua unatuma kisha unasikiliza na hii imekua ikileta utata mwingi sanana kusababisha marumbano na pengine kuvunjika kwa mahusiano mengi sana ya kirafiki, kindugu na kimapenzi yaani wapendanao, kwani unakuta mmoja wa watu anatuma voice note bila kusikiliza na pengine baadhi ya maneno hayasikiki ama yanafika vibaya hivyo kusababisha taharuki baina ya watu.



ila sasa update hii imerahisisha na kuwa suluhisho ya walio wengi na itapunguza visa vya voice note. Zoom tech tunapenda kuwapongeza waboreshaji wa kila toleo jipya la ufanisi kazi wa whatsapp kwa kuwezesha na ku solve hii upande wa voice note kusikilizika kabla ya kutuma.

kwa mrejeo zaidi angalia video hii.

sasa imepatikana suluhu ya tatizo na hakika kila mtumiaji amefurahia update hii.

endelea kutembelea kurasa za zoom tech kwa taarifa kamili.

Tech Lazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi