Kipenge Kipya Cha TikTok kinachopendwa zaidi na Watumiaji wake.

Mtandao maarufu wa video fupi fupi wa TikTok umefanya update na kuja na feature nyingine mpya ambayo sasa imekuwa feature pendwa sana kwa watumia wa mtandao huu.

Watumiaji wa TikTok sasa wanaweza ku-repost post walizozipenda kwenye mtandao huu wa TikTok.

Kama bado hujakutana na hii feature mpya kwenye simu yako hakikisha ume-update App ya TikTok na kuwa na latest version ili uweze kufurahia kipengele kipya.

Je, wewe ni mpenzi wa TikTok? Hii ni yakwako.

#TechLazima


Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi