Kampuni ya simu za mkononi ya Xiaomi Inc. Imekuja tena na simu Mpya aina ya Xiaomi 12T.
Tuangazie sifa kuu za simu hii;
•𝐂𝐀𝐌𝐄𝐑𝐀
Simu hii Imekuja na 108MP, f/1.7,24mm(wide) OIS+8MP(ultrawide) + 2MP(macro) kama main camera na upande wa selfie 🤳 Ina 20MP (wide).
•𝐃𝐈𝐒𝐏𝐋𝐀𝐘
Simu hii Imekuja na 6.67" AMOLED Display ikiwa na protection ya Corning Gorilla Glass 5 na 120Hz refresh rate.
•𝐏𝐑𝐎𝐂𝐄𝐒𝐒𝐎𝐑
Upande wa Processor Imekuja na MediaTek Dimensity 8100-Ultra na Os ya android 12, MIUI 13.
•𝐒𝐓𝐎𝐑𝐀𝐆𝐄
Simu hii Imekuja na 128GB+8GB RAM na 256GB+8GB RAM
•𝐁𝐀𝐓𝐓𝐄𝐑𝐘
Upande wa betri imekuka na 5000mAh pamoja na teknolojia ya kuchaji haraka ya 120W ambapo inasemekana unaichaji 100% ndani ya dakika kumi na Tisa tu (19minutes) na hii ni kwa mujibu wa Xiaomi wenyewe.
Je, Sifa gani umeipenda zaidi kwenye simu hii?
Acha maoni yako kwenye comment.
#TechLazima
Chapisha Maoni