Hizi hapa wireless earpod zilizofanya vizuri 2023

Habari wakubwa? 

Leo tutazame kwa kina earpod bora kwenye soko kwa sasa, kwa upande wa iPhone, android na vifaa vingine vyote.


Kwa upande wa iPhone(Hizi hazifanyi kazi kwenye android);

1. Apple AirPods Pro (2nd Generation) ni airpod zenye utendaji wa vitu vingi ikiwa na uwezo wa features zifuatazo;

|Noise cancellation: Yes

| Transparency: Yes

| Battery life: Rated up to 6 hours (ANC on)

| Wireless Charging: Yes

| Water resistance: IPX4 | Bluetooth Multipoint: No

| Works best with: iOS, macOS

| Ear tips: Silicone (XS, S, M, L included)


Kwa matumizi ya kila kitu;

2. Sony Linkbuds S, Hizi zinafanya vizuri kwenye kila kifaa na ni nyepesi na kuna wakati unaweza kusahamu kuwa umezivaa sikioni.

Hizi ndio features zake;

|Noise cancellation: Yes

| Transparency: Yes

| Battery life: Rated up to 6 hours (ANC on)

| Wireless Charging: No

| Water resistance: IPX4

| Bluetooth Multipoint: Yes

| Works best with: Android, iOS

| Ear tips: Silicone (XS, S, M, L included)


Nzuri na kwa baei rafiki;

3. Jabra Elite 3, Hizi ni earpod ambazo zina uwezo mkubwa kwa bei rafiki ambapo zinapatikana kwa wastani wa $100.

Hizi ndizo features zake;

|Noise cancellation: No

| Transparency: Yes

| Battery life: Rated up to 7 hours

| Wireless Charging: No

| Water resistance: IP55

| Bluetooth Multipoint: No

| Works best with: Android, iOS

| Ear tips: Silicone (S, M, L)


Kwa sasa hizo ndio Best earpod kwa sasa.

Je, Wewe unatumia ipi kati ya hizo? 

#TechLazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi