Habari wanafamilia wa ZoomTechnology..!
Kama ilivyo ada hapa habari zote za Teknolojia unazipata kwa lugha ya kiswahili, Leo tunakusogezea habari njema kwa watumiaji wa android haswa watumiaji na wapenzi wa TECNO.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya teknolojia TECNO inatambulisha "Magic Skin" kwenye ufuniko wa nyuma wa simu, yenye faida kwenye usafishaji kwa urahisi, isiyoruhusu mikwaruzo na instahimili hali ya hewa yeyote na ubora uliotukuka @tecnomobiletanzania,
Bofya video kuona
Je, Unatamani hii teknolojia ije kwenye series ipi kutoka Tecno?
Acha maoni yako kwenye comment.

Nawakubali Tecno
JibuFutaTeknolojia nzuri sana, naingojea
JibuFutaHii sio ya kukosa
JibuFutaNaitaka hii
JibuFutaNoma sana
JibuFutaChapisha Maoni