Kama ilivyo ada kila week tunawaletea update kuhusu TECH QUIZ CHALLENGE ambayo inafanyika katika vyuo hivi vine vilivyo Dar es Salaam navyo ni DIT, IFM, UDSM na CBE, tayari tumeshakwisha kuona kwa week mbili mfululizo ameibuka kidedea kupitia quiz hii ambayo inaletwa kwenu kwa udhamini wa kampuni ya simu Infinix Mobile Tanzania.
Kampuni hii ya simu nambari moja katika soko la
simu ambayo inafanya vyema kupitia matoleo yake ya HOT 30 SERIES na NOTE 30
SERIES imekuwa ikitoa fursa nyingi kwa vijana ikiwa ikiwa lengo ni kumfanya
kijana aweze kujikwamua kimaisha kupitia teknolojia.
Mtanange utarushwa kupitia mitandao ya kijamii
@infinixmobiletz weka notification mana kwa inavyoonekana kuna habari nyingi
zinaendelea zenye kuwahusu vijana kupitia mitandao yao ya kijamii.
mkianzakuitoa mnitaarifu hiyo naitaka
JibuFutaKwa mm binafsi nashukuru sana na ninajivunia kutumia kampunhttps://www.instagram.com/infinixmobiletz/ mko vizuri
FutaHi
FutaUsijali ninasubiri Pi zangu zihame! Natamani sana zihamishwe!
Naomba tufanyiwe haraka kuhamishiwa Pi na wale wa KYC zikamilike pls! Pi hoyeee!!!
Chapisha Maoni