Je! Usafirishaji wa kebo ni nini?
Usafiri wa kebo unahusisha kusafirisha watu kwa magari yasiyo na injini, na yasiyo na injini ambayo yanaendeshwa kwa kebo ya chuma, inayojulikana kama ropeway.
Dar es salaam. Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu (latra) inachunguza uwezekano wa kuanzisha usafiri wa kebo katika angalau mikoa sita kama sehemu ya juhudi pana za kuimarisha utalii nchini na kuwezesha kusafiri katika maeneo sawa.
Usafiri wa kebo unahusisha kusafirisha watu kwa magari madogo, yasiyo na injini ambayo yanaendeshwa kwa chuma, kebo inayojulikana kama ropeway
baada ya kusoma na kuelewa ufanyaji kazi wa kebo hizi za usafirishaji mikoa ambayo imechunguzwa na kuonekana kua ina uwezekano wa kuweza kuwekwa miundombinu hii ni
- Mbeya
- Iringa
- Tanga
- Morogoro
- Arusha
- kilimanjaro
hii ilitokea June 2023 ambapo mkurugenzi na minister Makame Mbarawa ambae alitoa muongozo kwa Latra kuendelea na kazi hiyo na kuanza ufanyaji kazi mchakato wa usafirishaji wa kebo.
Ali dhihinishwa mtu mpya kiongozi wa Latra, Prof Mbarawa ameendelea kusema kua kitengo hiki kinatakiwa kuendelea kufanya uchunguzi na namna yakupata ufumbuzi juu ya nyenzo hii nyingine ya usafirishaji kwa njia ya kebo, kwani hii ninjia nyingine ya uwekezaji na kusisitiza kitengo hiko kua active na miundombinu ya kisasa ili kuweza kuvutia watalii na wawekezaji zaidi kama nchi zilivyo endelea inabidi twende na kasi sawa na dunia. alisema Prof Mbarawa june 2023.
Kwa mtazamo huu, sisi kama Zoom tech tunaendela kuwakumbusha watuwote kua kasi ya teknolojia inakua zaidi, nakila nchii ina jitahidi kuendana na kasi hiyo hiyo ili kuweza kupambana na ulimwengu.
Tanzania imeona upenyo kwenye sector hii na mawazili na watendaji wame sogea zaidi na kuweka nia kwenye kutekeleza hili kwa kuanza na mikoa 6 ya kwanza kama mwanzo wa njia hiii ya usafirishaji.
Je ungependa kufahamu mengi zaidi?
Endelea kukaa karibu na kurasa zetu zote za kijamii kupata mwendelezo na habari zote juu za teknolojia zinazo endelea.
#TechLazima.

Chapisha Maoni