Taarifa za ndani kabisa kutoka kampuni ya simu za mkononi Infinix Tanzania ni kuwa promosheni ya jipate kuhitimishwa rasmi Tarehe 15 ya Mwezi huu ambapo wateja waliofanya manunuzi ya simu za Infinix katika kipindi chote hiki cha kampeni majina yao yatechezeshwa katika droo la bahati na sibu. Zawadi ambavyo zipo tayari kwajili ya washindi wa droo ya JIPATE NA INFINIX ni Piki piki, Laptop, Fridge na Microwave.
Simu ambazo zinapatikana katika promosheni hii ya jipate ya Infinix ni Infinix NOTE 30 Series, Infinix HOT 30 Series, Infinix Zero Ultra na Infinix Smart 7 Series, simu zote hizi ni matoleo ya mwaka huu ni nzuri kimuonekano lakini pia zinafeature za kisasa na bei rafika kabisa.
Ø NOTE 30 Series
Infinix NOTE 30 Series imegawanyika katika matoleo matatu NOTE 30, NOTE 30 pro na NOTE 30 Vip simu hizi zilingia rasmi katika soko la simu nchini Tanzania June 2 na kuliteka soko la simu kisawasawa na kulingana na tafiti za hapa na pale simu hizi zimekuwa pendwa kutokana na teknolojia ya fast charge na wireless charge lakini pia technolojia ya iliyopo katika simu kuwezesha kuchajisha simu nyingine.
NOTE 30 Vip ina WATT 68 ya fast charge na WATT 50 ya wireless charge, Infinix NOTE 30 pro ina WATT 68 ya fast charge na WATT 15 ya wireless charge na NOTE 30 ina WATT 33. NOTE 30 Series ni simu pekee kwa sasa ulimwenguni kote zenye kima kidogo cha bei kuwa na teknolojia jii ya kisasa katika kipengele cha chaji, vile vile Infinix NOTE 30 imejitwalia TUZO ya Best product design ‘Media/Home Electronics’ za PARIS Design Award kwa Mwaka huu.
Ø HOT 30 Series
Infinix HOT 30 Series imegawanyika katika matoleo matatu pia, HOT 30, HOT 30 play na HOT 30i hili ni toleo pendwa kwa vijana kutokana na bei lakini pia feature kuwa za kisasa zaidi. HOT 30 ina storage kubwa ya GB 256 Rom na GB 8 Ram na inaongezeka hadi kufikia 16 GB Ram, Megapixel 50 camera kuu, battery mAh5000 na fast charge WATT 33
Ø ZERO Ultra
ZERO Ultra ni flagship ya kampuni ya Infinix kwa sasa japo tayari fununu zimeshaanza mitandaoni kuhusu ujio wa ZERO 30. Ukitaja sifa kuu za ZERO Ultra basi kila sifa ni kuu simu hii ina thunder charge ya WATT 108 Kujaza chaji kwa 180% kwa dakika 12, Camera Megapixel 200, 3D AMOLED Display na kichakata kazi cha Mediatek Dimensity 920 6nm 5G kwa utendakazi ulioboreshwa, muunganisho wa kuwezesha WI-FI 6, 5G SIM na Erdal Engine 3.
Ø Kopa Bila Riba
Katika msimu huu wa jipate unaweza miliki simu hizi kwa mkopo tembelea sasa katika maduka yote ya simu nchini Tanzania Ujipate na matoleo ya kijanja na zawadi kem kem. Kwa huduma ya haraka @infinixmobiletz au piga namba 0659987284.
.jpg)



nnuuradiinahmedali@gmail.com
JibuFutaChapisha Maoni