Umebakia mwezi mmoja na siku kadhaa kumalizia mwaka huu wa 2021, huu mwaka zimetoka Apps nyingi na zenye teknolojia mpya kurahisisha maisha yetu ya Kila siku. Hizi ni Apps kumi bora mpaka sasa zilizotoka mwaka huu;
📱Glitch Lab
📱DoodleLens
📱KineMaster
📱Wondery
📱Spotify Kids
📱Pocket Casts
📱Udemy
📱Time Immersive
📱Bookly
📱Disney+
Hizo ni Apps kumi bora mwaka huu na zipo zingine nyingi bora, endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi. FOLLOW
Chapisha Maoni