Umewahi kujiuliza ni kwa namna gani watu hutengeneza fursa kwenye Clubhouse? Hizi hapa njia tatu za kukuwezesha kufanya hvo;
•Udhamini(Sponsorship)
Kama YouTubers, watumiaji wa Clubhouse hupata udhamini na kulipwa kiwango Cha Fedha kutaja bidhaa za kampuni au huduma za kampuni.
•Paid Rooms
Watumiaji wa Clubhouse Kuna kitu kinaitwa Paid Rooms kwa watu wenye wasikilizaji wengi hutengeneza chat rooms na kufaidika nazo kwa maana wanatakiwa kulipia kabla ya kuungwa kwenye gumzo hizo
Chapisha Maoni