HUAWEI itazindua MATEBOOK E November 17



imea ni muda tangu huawei izindue toleo hili mnamo 2019 na sasa inatarajia kutoa mfululizo huu wa matebook E November 17, toleo hili litakuja mojakwamoja na mfumo wa uendeshaji wa window 11 ambao muonekano wake ni kua menu yake inakaa katikati ya skrini hii ya matebook E



kwa muonekano tu wa picha hii unaonyesha kua hii matebook E itakua ni nyembamba mno na pia kioo chake ni mwanzo mwisho, Komputer hii mpakato itakua ina finger print upande wakushoto na pia inakuja na peni itakayo tumika katika kifaa hiko.

ni dhahili kua ulimwengu wa teknolojia unakua kwa kasi mno na sasa makampuni yote yanajaribu kua sambamba na utiririkaji huu wa teknolojia.

juu ya muongozo na uchambuzi wandani zaidi utafanyika hapa hapa kaa tayari na usiacha kufuatilia kurasa zote za Zoom Tech upate taarifa zilizo za wakati na uchambuzi kwa wakati.

Techlazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi