ukiachana na uvumi au tetesi zote zinazo vuma kua simu za oppo haswa Find X4 ambayo inatarajiwa kutoka mwakani kua na chaji ya ajabu 125W sitishio kwa kampuni nyingine za simu kwani zipo takwimu zinazo onyesha kutoa list kubwa ya simu zitakazo toka mwakani zenye chaji ya 125W na simu hizo nipamoja na OPPO<ONE PLUS, REALME
ni dhahiri kua kutakua na vita vikali sana kwa makampuni ya simu mwaka 2022 kwani kila kampuni imekua ikijitahidi kuziba na kuridhisha wateja wake kwa juhudi zote,
Vifaa hivi vyote vinapaswa kuwa rasmi na kupatikana katika nusu ya kwanza ya 2022, kwa hivyo itafurahisha kuona jinsi zinavyofanya kazi kulingana na nyakati za malipo ikilinganishwa na mfumo wa 120W wa Xiaomi ambao uko ndani ya 11T Pro - tulijaribu moja kuchukua 5,000. Betri ya mAh kutoka 0 hadi 100% kwa dakika 21 tu. Huo ni wazimu, na ni nani anayejua - labda teknolojia ya Oppo itakuwa haraka zaidi.
kama ilivyo ada huu ni uvumi hivyo kaatayari kwa taarifa kamili vivi punde.
Techlazima
Chapisha Maoni