Samsung Iko mbioni kuzindua simu mpya kwenye matoleo ya A na hii ni A73 5G, simu hii kutoka Samsung imevuja na kusambaa kwa taarifa zake baada ya Taarifa ya kwanza kutoka.
Tazama sifa kuu za A73 5G.
Camera :
Samsung A73 5G inakuja na kamera yenye uwezo wa 108MP kwa kamera moja ya nyuma ina mjumuiko wa jumla ya MP108 na inatarajiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuzoom yaani Kuvuta na kuona Mbali zaidi, pia Uwezo wa kupiga picha wide angle na kutoa taswila ya picha kamili katika Simu hii, kina utofauti Mkubwa sana kati ya A72 na A73 il a hauonekani kwa macho ya haraka bali kwa wale wanao zijua simu hizi, maana Mfululuzo huu umekua na umbo sawa na pia mpangilio wa camera za nyuma pia ni sawa na hivyo kwa Lugha sahihi Ni kwamba kamera ya A73 imefanyiwa masahihisho kutoka kwenye kamera ya A72.
Display :
Samsung A73 5G imekuja na kioo chenye sifa ang'avu, kilo hiki ni FULLHD AMOLED chenye ujazo wa 6.7 inches ambazo ni mwanzo mwisho yaani kingo kwa kingo, Faida za Amoled Display kwanza kabisa inakusaidia kuaona Picha zako kwa Quality kubwa zaidi yaani kama unatazama Movie na pia haha katika matumizi ya simu ya kawaida aina hii ya kioo nitofauti na vioo vingine, na pili ina Render faster kuliko vioo vingine. Na ni muendelezo na ndio aina yasasa ya vioo ambavyo kila Kampuni inajaribu kwenda na Trend hii.
Uendeshaji :
Samsung A73 5G inakuja na mfumo wa uwendeshaji unaotumia Teknolojia ya snapdragon yenye 750G hii imeundwa sambamba na ufanisi wa simu yenyewe pamona na Refrezh rate inayo enda kwanzia 90Hz hadi 129hz.
Charge :
Simu hii imekuja na charge aina ya Type C na pia ina Tundu moja tu upande wa chini wa simu hii na hiki pia nikitu cha pekee kimeweza pia kutofautisha simu hizi yaani A73 pamoja na A72 kwa muonekano wa Umbo la njee, Samsung A73 5G ina tundu moja upande wa chini ambalo inatumika kama Sehemu ya kuchajia simu pamoja na Sehemu ya Kuchomoeka Earphones. Yaani simu hii inatumia Earphones zeneye njia ya Type C.
Kuna sifa nyingi sana za simu hii ila kaatayari kusubilia ujio rasmi wa simu hii, kwani hayo nimachache kati ya liyo mengi na hivyo kwenye uchambuzi ujayo tutaelezea kila kitu.
Ujio was A72 ulifanikiwa kufika mapema sana mwezi wa tatu ila Ujio wa A73 utachelewa kidogo kwani Utaarishaji wake umekua niwatofauti kuliko awali.
Endelea kutembelea page Ya Zoom Tech kia taarifa za kila siku kuhusu tech.
Acha ma oni yako hapo chini
#Techlazima
Chapisha Maoni