Ulimwengu wa makumpuni ya simu unazidi kutanuka na haswa kwa makampuni ya simu janja za mkonono imekua ikisememkana sasa kuna ushindani mkubwa mno kwenye tasnia hii na hivyo basi ukuaji wa teknolojia na mvutano wa makampuni haya imekua chachu kwa taarishaji wa simu hizi.
HONOR 60 inasemekana kuzinduliwa december 1, 2021 na inatarajiwa kua na matoleo matatu yaani HONOR 60, HONOR 60 Pro na SE, nazote zinatoka tarehe 1 december. Honor 60 Pro ina tarajiwa kuja na mfumo wa uendeshaji wa snapdragon 870 Dragon, huku ikiwa na betry ya 4500mAh na pia inasemekana itakuja na uwezo wa chaji wa spid ya 100W ikiwa ni sambamba au ni zaidi ya hapo
Kaatayari kwa ujio wa Simu hii 1/12/2021/
Techlazima
Chapisha Maoni