SAMSUNG Yatarajia kuzindua GALAXY S22 series February 8

tayari ushasikia uvumi?

kampuni ya samsung duniani yaani ulimwenguni inatarajia kuzindua simu yake mpya yenye picha ang'avu kama uhalisia wa sehemu halisi yaani a real life picture, simu mpya aina ya S22 ambayo itazinduliwa february 2022.


S series kutoka kwa kampuni ya samsung ni toleo ambalo linakubalika sana ndani na nje ya Africa, na watumiaji wengi sana wamekua wakisifia na kujivunia matoleo hayo, kutokana na sifa zake za moja kwa moja, ikiwemo storage na wengi wanazikubali sababu ya kamera yake pia na kwasasa samsung wameweza kutoa ualakini kwenye fikra za watumiaji wake kwani hapo mwanzo watu walianza kuzikataa na kuchagua kampuni nyingine za simu ikiwemo tecno na motorola kwa kipindi hiko kwani ndio simu zilizo kua zinakaa nachaji nakasoro kubwa ilikua ni chaji, ilakwasasa kasolo ya betri imekua sio kasolo tenakwani inakaa na chaji sana na watumiaji wa samsung wanasifia utunzani wa chaji na hivyo kurudisha tena uminifu wake kwa wafuasi wake.


Nikitu cha ajabu na chakipekee kwani taswila na uzoefu wawatu ni kua peni hua zinatumika kwenye matolea aina ya NOTE hii nikatika kampuni zote za simu kwani Note ndio imekua iki wa na matumizi ya note yaani kutunza kumbukumbu na ku chora na kuandika, hii ni simu ya kwanza kwenye S series za samsung kua na peni yake ambayo ni touch pad ya kioo chake na hivyo ime tanua wigo wa matumiz ya simu hii.

kwa makadilio na ni maoni ya watu wengi sana wakiwa wanatamani toleo hili la samsung na wengi wana diriki kusema wamechoka kusubiri kwani washaandaa pesa na wako tayari kumiliki toleo hili kutoka samsung.

KAATAYARI KUSUBIRIA TOLEO JIPYA LA SAMSUNG S22 MWEZI WA PILI TAR 8.

#Techlazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi