furaha na faraja kwa wapenzi na wafuatiliaji wa movie,
wazi kama wewe ni mtazamaji wa movie sana basi ni dhahili pia kua umeshatafuta namna nyingi sana za kuweza kupata na kufahamu jinsi ya kuangalia movie bila kulipia wala kua na akaunti, na hii ni matamanio ya wengi wapenda movie.
ZOOM TECH inakuletea na kukupa njia rahisi za kuweza kuangalia movie bila kulipia na wala bila kua na akaunti ndani ya app ya Netflix, tafadhali fuata njia zifuatazo ili kukamilisha
1. hakikisha unatumia simu za uendeshaji mfumo wa Adroid na kama unayo hapo fuata muongozo unaofata.
- download application hii katika simu yako ya android.
- Ila pia kama wewe ni mtumiaji wa window au mac unaweza ku download application hii kulingana na matumizi yako.
hongera kama umesha download na kufanya installation ya application hii, kwa android na kwa window ufanyaji kazi wake unafanana hivyo tafadhali fuata njia zifuatazo ili kuruhusu ufanyaji kazi wake.
1. bofya kitufe cha alama ya jumlisha juu kulia ukisha fungua aplication yako
2. baada ya hapo utaweza kufungua na kuona sehemu ya kuweza kuandika link chakufanya andika maneno haya huhu.to ili kweweza kufanikisha hili hakikisha unaandika kama ilivyo bila kuweka nafasi fuatilia maelekezo ili kurahisisha matumizi
3. baada ya kumaliza kufanya hivyo utaweza kuona nen limeandikwa CONTINUEbofya hapo na kisha subiri ili program ijifungue na imalize kujifungua na baada ya hapo utaon amoviezote za netflix na utakua umeweza tayari kuangalia movies zako aote buree bila kulipia na bila kufungua account chakufanya nikufuata muongozo.
kwa mahitaji ya kuangalia movies hii ni kwa movie unayohitaji bofya movie hiyo kisha bonyeza sehemu imeandikwa saver kisha endelea na muongozo unaofuata n a kwakufanya hivyo utaweza kuangalia movie yoyote unayo ipenda bure na bila kuwa na akaunti.
kwa muendelezo zaidi usiache kutembelea kurasa za zoomtech kwa habari zaidi.
#techlazima
Chapisha Maoni