XIAOMI YA VUNJA REKODI KWA KUUZA SIMU 500,000 NDANI YA LISAA LIMOJA



Xiaomi wavunja record kwa makampuni ya simu ya 2021 kwa kufanikisha kuuza simu 500,000 ndani ya lisaa limoja kutoka kwenye chimbuko za habari, na simu izi ni pamoja na Redmi Not 11 mauzo ya kwanza, zikiwemo na simu zilizo fanyiwa Pre order Redmi Note 11 Pro na Redmi Note 11 pro+.ambazo zimetolewa week iliyo pita kwa nchi jirani.

SIFA KUU YA REDMI NOTE 11 PRO
Xiaomi Redmi Note 11 pro ina sifa kuu 3 ambazo zinaifanya simu hii kua imara na kuzidisha matamanio ya watu kuichagua na sifa hizo nikama zifuatazo.



CAMERA
Uwezo wa kamera ya simu hii ni mkubwa unao mpa mteja sababu za kuichagua, kamera tatu za nyuma 108MP , 8MP na 2MP ambazo zinafanya kazi kwa pamoja, kutokana na maendeleo ya teknolojia wapiga picha wengi wanatumia simu kama office yao na hivyo kwa simu hii ni chagua kwa wapiga picha hii ni kutokana na takwimu maalumu ya wanunuzi wengi wa simu hii REdmi Note 11 pro.

DISPLAY
Redmi Note 11 pro ime kuja na display ya Amolade 6.67 inches, faida kuu ya Amolade Display hutumua nishat kidogo yaani haimalizi charge, na ina onesha picha kwa ubora zidi na pia hutoa muitiko wa mwendo wa haraka zaidi ukilinganisha na teknolojia zingine kama vile LDC, Tofauti kubwa kati ya Amoled na Oled ni kwamba muonekano wa desplay ya Amoled imegawanywa kwa wembamba  vya transistors za filamu nyembamba (TFT)nyuma ya kila  pikseli haswa katika maonesho makubwa , ni vigumu zaidi kuhamisha nishati kwenye urefu wa skrin hivyo ndio sababu ya desplay ya amoled imegawanywa na picha au onesho lake linaonekana vizuri zaidi o fauti na Oled ambayo haijagawanywa.

OS
Redmi Note 11 pro ina android system ya 11 ambayo ina faida nyingi sana kama zifuatazo.
Android 11 ina ruhusu. Lebo za Voice AccessIntuitive kwenye programu hukusaidia kudhibiti na kusogeza kwenye simu yako, yote kwa kutamka kwa sauti. Kamera, Ustawi wa Kidijitali, Biashara, Vyombo vya Habari, Kutuma Ujumbe na Kushiriki, Usalama na Faragha, Maboresho ya Utumiaji.
  • simu hii ina storage kubwa ya 6/8 GB RAM uwezo wa charge ni mkubwa 33w pamoja na refresh rate ya 90HZ ambazo kwa ingizo hili ni vitu ambavyo wengi huviangalia wanapo hitaji simu au kwenye kufanya machaguo ya simu.



ni muendelezo na maendeleo mazuri kwa kampuni za simu kwani zimekua zikigusa na kutimiza mahitaji ya watumiaji kwa kuangalia uhitaji wa watu sahihi. ulimwengu wa teknolojia umekua kwa kasi mno na sasa niwakati wakila mtu kuifahamu teknolojia ili kupata yaliyo bora.

Endelea kufuatilia Zoom tech kwa taarifa za ki teknolojia.

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi