kama ilivyo ada kwa facebook kubadilijina na kuita Meta vivyo hivyo na jack Dorsey ambaye ni mmiliki wa twitter amebadilisha jina kutoka square hadi kuiita block, huku sababu zikiwa nizilezile kama zilizo mfanya mmiliki wa facebook kubadili jina lake, basi Jack Dorsey Square ameeleza kua moja ya sababu ya kubadili jina hili nipia na pamoja ya kutaka kukuza na kutanua wigo wa teknolojia hususani kwa mtandao huo na pia kuongeza wigo wa watumiaji na kuweka features nyingi zaidi ambazo ni muhimu kwa watumiaji na pia inaongeza tashtiti kwa muonekano na wigo wa tknolojia kwa sasa.
Kampuni hii imetangaza na kuweka wazi kua jina hili la kampuni litaanza kutumika rasmi kwanzia tar 10 december na pia mabadiliko yote yataanza kuonekana hapo, ila kwasasa kampuni ikiwa inaelekea kwenye mabadiliko hayo basi itaendelea kutumia jina la Square kwa sasa hadi pale itakapo badilika tarehe 10.
mmiliki wa Square Jack Dorsey alisema kua walianzisha SQ kwa dhumuni la wafanya biashara kuweza kukuza biashara zao, na kwa mwanzo ilikua inatumika hivyo na sasa matumizi yameongezeka na pia wanaitaji kukuza zaidi wigo wa wafanya biashara na kutanua mauzo na watumiaji pia kwa kuwaekea mfumo stahiki, huku mmiliki huyu akiendelea kusisitiza kua haijalishi watakua au kutanuka kaiasigani hawataacha kutanua wigo na kukuza uchumi wa wafanya biashara na jumuia kwa pamoja kwakupitia kampuni yao.
Chapisha Maoni