Samsung Note 10 series imepokea update mpya ya Beta UI4

 


watumiaji wa simu za Sumsung Note 10 series korea ya kusini sasa wanaweza kujiandikisha kwa program ya toleo la beta UI4 hii ndio njia rahisi kwa watumiaji wa samsung note 10 ambao wako korea ya kusini ili kupata update mpya ya Android 12.

update hii imetokamoja kwamoja muda huu.




je update hii itakufikia pia,

endelea kutembelea kurasa za Zoomtech kwa updates zaidi.

#TechLazima

Source 

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi