Leo kampuni ina achia mtazamo mwingine kwa mara ya pili wa Android 13, na kulinganisha na mfululizo wa matukio ilitangazwa februarina hatua itakayo fata baada ya hii ni BETA ya kwanza ambayo itakua inafika muda sambamba hapo mwezi wa nne na huku tukipokea beta nyingine mwezi wa tano, and kwa beta ya tatu itatoka mwezi wa sita, beta ya nne itatoka mwezi wa saba(ambayo hii itatoka kama mgombea huru alie achiliwa) na huku ikifatiwa na toleo la mwisho kabisa muda huo huo baada ya hiyo kuisha, kama kawaida ya google haiahidi tuu kua kuchagua mwezi maalumu kwaajili ya hiyo, ila nikwa kufuatilia na kuhakiki android 13 iliopita je itakua tayari kusapot PIXELS kwa mwezi wa nane, wa tisa au wa kumi?
Taarifa ni nyingi sana Juu ya ujio huu na pia mabadiliko nimengi yote yaki ambatana na uchunguzi na ufatiliaji wa beta na kila toleo kwa upande wa google.
Je?
Unatamani kujua ya lio mengi juu ya update hii ya android 13 kwa mwaka huu 2022 kutoka Google? Update hii inakuja na mambo mengi sana ambayo yote tutayatoa na kuyatolea ufafanuzi hapa hapa ZOOMTECH, endelea kutembelea kula leo na kila wakati page na kurasa za zoom tech kwa muendelezo wa habari na taarifa kuhusu teknolojia yetu na yaulimwengu mzima.
#TechLazima
Chapisha Maoni