Google inathibitisha I/O itaanza Mei 11-12 kutoka Shoreline Amphitheatre

Leo, Google imethibitisha kuwa itakuwa mwenyeji wa tukio lake la I/O mwaka huu moja kwa moja kutoka Shoreline Amphitheatre. Tukio hili mara nyingi litafanyika mtandaoni, na baadhi yake huenda zikaonyeshwa moja kwa moja kutoka kwa ukumbi.


kaatayari kwa mambo mazuri kutoka Google, endelea kufuatilia kurasa za Zoomtech kwa updates za kila saa. 


#TechLazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi