NETFLIX yasitisha matumizi ya account moja kwa watu zaidi ya mmoja

NETFLIX sasa inatambua endapo ukashare password yako kwa mtu mwingine na hivyo ina tafuta nmna ya kuchangia kwenye gharama za huyo mtu mwingine ambaye utakua una changia nae kutumia kuperuzi kwa account moja.

nikwamuda sasa ambapo uchangiaji na usambazaji wa password moja kwa marafiki na familia umekua ukienea ili kuweza kufurahia picha, tamthilia na ku download yaani upakuaji wa movies kwenye platfom ya netflix, kampuni hii imekua ikikubwa na tatizo hili kwa muda mrefu na sasa ina wahakikishia watu kua huu mchezo unafika mwisho kwani kampuni imekubana na tatizo hili na lina haribu uingizaji wa mapato wa kampuni na pia zaidi una punguza kingo za upinzani kwa makampuni mengine kwani idadi ya watu wanao jisajiri inapungua kwa kua watu wanatumia usajiri mmoja kuingia na kufurahia vipengere tofauti ndani ya NETFLIX.

Uhuru umekua ukitawala juu ya utumiaji wa mtandao huu na hii iliwekwa na waanzilishi wa program hii na kuwapa nafasi watu wanaweza kuangalia kwa pamoja kwa kutumia akaunti moja yaani usajili mmoja na kufungua kipengele tofauti ndani ya hiyo program, ila sasa kwa watumiaji wameshindwa kuelewa namna ya ufanyaji kazi wa hii na hivyo kampuni imeingia kwenye mtikisiko wa kiupinzani zaidi kwaani usajili unakua unapungua na sasa inatarajia kukomesha na kusitisha uwezo wa kuchangia password moja kwa watu wengi.
kwa makadirio ya chini unadhani hii ita ongeza usajili wa akaunti nyingi baada ya kuzuia matumizi haya au itapelekea kupoteza kwa wafuasi zaidi? 

Zoomtech ipo kwaajili ya kukufikishia taarifa za kila wakati, endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa kamili za kila muda.

#TechLazima

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi