Sasa Unaweza kupata Night Sight shoot ndani ya Snapchat ukiwa na camera Ya Pixel.


MPYA YA LEO,

Huduma upande wa kamera za PIXEl zimefanyiwa marekebisho ili ziweze kutumia teknolojia mpya ya Night Sight kwenye app ya Snapchat, teknolojia hii ni sehemu ambayo inawezesha features nyingine za kamera za Pixel kutumika kwenye sehemu za kamera za watu wengine kama vile Instagram na snapchat, Feature hii inasaidia katika utendaji kazi wa kamera na una peleka kwenye Ultrawide na telephoto ili kupiga picha na video moja kwa moja kwenye instagram na sehemu za kutafuta upande wa snapchat.

Huko nyuma google ilitangaza Pixel 6 na Pixel 6 pro, ilifanya jambo kubwa kuhusu kuunganishwa kwake na programu ya snapchat. kwanza ilizinduliwa na 'Gusa haraka snapchat' amabayo ilikua ina peleka kwa haraka zaidi kwenye kuweza kuipata snapchat mara moja kutoka kwenye skrini ulio fungua, Samsung pia ili tangaza kuunganisha kamera ya snapchat kwenye camera ya kawaida ndani ya uzinduzi wa simu mpya ya Galaxy S22, pamoja na tiktok na Instagram.

Je Unatamani kujua zaidi kuhusu uboreshwaji huu wa kamera za Pixel? acha maoni yako sasa na kisha utapata taarifa zaidi kuhusu Usahihishwaji huu.


Tembelea page zetu za Zoomtech kuwa wakwanza kupata ufafanuzi juu ya tecnnolojia zetu kila leo.

#TechLazima


Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi