XIAOMI 12PRO REVIEW NA ZOOMTECH

INTRODUCTION

Xiaomi 12 Pro inapatikana china tangu mwaka jana mwezi wa kumi na mbili, Matoleo ya Xiaomi 12 imezinduliwa nje ya China, kwa kimataifa Xiaomi 12 pro ni bora zaidi imekua ikifanya tuwe pamoja kwa muda sasa na iko katika nafasi yake kamili. 

kwa upande wa makampuni ya simu sasa imekua ikichukua nafasi yake na inaonekana ni kampuni ambayo iko serius kwenye matoleo yake na masoko kwa pamoja, ingawa 12 pro inakuja na kamera tatu  zenye uwezo wa 50MP (kamera kubwa, kamera ya angle kubwa na kamera ndogo ya tele), ila pia ina sita na kuacha kutoa kamera yeney ubora zaidi ya hapa kwani hii sio ultra pia.

Xiaomi 12pro ina snapdragon ya kisasa na kama ilivyo kawaida ina onyesha LTPO OLED kutoka samsung ambalo ni bora zaidi, ila pia ukiachana na hayo simu hii ina uwezo mkubwa sana wa kuchaji kwani ina 120W ambayo kasi ya upelekaji chaji na kujaza simu yako nikubwa zaidi, hii ni yaajabu kutoka kwa makampuni mengine na hii ni suluhisho la simu upande wa chaji na pia inaokoa muda zaidi kuliko watt nyingine.

kuna mambo mazuri mengi sana kwenye simu hii na yote unaweza kuya pata direct, Usikose makala ijayo Kutoka Zoomtech,  endelea kufuatalia kurasa zetu kwa taarifa za kila saa juu ya teknoloji.

#Techlazima.


Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi