Infinix HOT 12 kuja na uwezo mkubwa wa Processor

 Habari Wanafamilia wa Zoom Tech!


Kampuni ya simu janja ya Infinix inategemewa kuja na simu mwenza wa Infinix HOT 12i ambayo imezinduliwa hivi karibuni.





Kwa taarifa za ndani kabisa ni kuwa simu hii inayotarajiwa kuzinduliwa  mwanzoni mwa mwezi wa tano ni Infinix HOT 12 ambayo itakuwa ni mwendelezo wa Series ya HOT 12.


Simu hii inatarajiwa kuja na sifa kubwa kwa upande wa speed ya processor aina ya MediaTek na kasi yake ya gaming ni 85 na hii kuifanya kuwa simu ya kwanza ya toleo la HOT kuwa na processor yenye kuchakata kazi kwa haraka zaidi.


Pia simu hii inatarajiwa kuwa na mwonekano (design) ya kipekee kabisa huku ikiwa imeongezewa ulinzi kwa kuwa na mifumo ya kisasa zaidi ya usalama na za ndani kabisa zinasema itakuwa na side fingers print huku ikitegemewa kuja na mfumo wa uendeshaji wa android 11.


Simu hii inatarajiwa kuwa na teknolojia ya kuongeza RAM, inasemekana itaweza kuongeza Hadi 9GB RAM kitu kitakachoifanya kuwa toleo la HOT la kwanza kuwa na RAM kubwa zaidi hivyo kuifanya iwe na Kasi kiutendaji Kuliko matoleo yote ya HOT.


Kwa taarifa zaidi kuhusu simu hii endelea kufuatilia kwa ukaribu kurasa zetu kwa jina Zoom Tech, tutakuwa tunatoa updates kuhusu simu hii na habari zote za teknolojia kwa lugha hadhimu ya kiswahili.


#TechLazima

19 Maoni

  1. Huyo smu ina GB ngapi na Bei yake nshingap

    JibuFuta
    Majibu
    1. Je Kwa Nini Ii hot 22i haikubali ku install app zingine

      Futa
    2. hot 12i ina GB 64 tembelea @infinixmobiletz

      Futa
  2. I have infinix b/c my my hot 6 doesn't support 4G and above😥

    JibuFuta
    Majibu
    1. pole sana tembelea @infinixmobiletz watakukutanisha na mafundi wao

      Futa
  3. Mm Nina Infinix hot 5 kwanza haina uwezo wa 4g halafu kiukweli hz cm nzito mno kwy internet

    JibuFuta
    Majibu
    1. pole sana, sasa hivi Infinix inamatoleo mapya ya 4G na yana kasi ya ajabu kama hii hot 12i nunua hautajutia

      Futa
  4. Ninatumia smart 5 ila haina uwezoo kabisaa Yani nikelo tupu

    JibuFuta
    Majibu
    1. pole sana, inategemea unaitumia kwa matumizi gani kila simu inauwezo wa kubeba app ya uzito fulani na ndio maana zinatofautiana processor, Ram na connectivity, kama unamatumizi makubwa sana hamia Infinix HOT 12 imebalance kila idara.

      Futa
  5. Smat 4 lakin mbovu kabisa inastak Ina pays Moto chaji inaisha chap Yan najuta kununua infinix smart4

    JibuFuta
    Majibu
    1. pole sana, umejaribu kufika kwa mafundi wao? au kutembelea @infinixmobiletz?

      Futa
  6. Mimi ninayo note 7

    JibuFuta
    Majibu
    1. hakika wewe ni mdau wa Infinix na kama ungependa kuupgrade nakushauri uchukue Infinix NOTE 11.

      Futa
  7. Hy .sm sw

    JibuFuta
  8. Mimi natumia hot 8 je naweza kurudisha niongeze ela nichukue hote 12

    JibuFuta
  9. Mimi nina smart 6 yenye 4G iko vizur mno

    JibuFuta
    Majibu
    1. kweli smart 6 iko poa ni 4G ya uhakika tatizo watu wanang'ang'ani mahot tu badilisheni cm hizo nunueni mali mpya

      Futa
  10. Mimi nina hot10i ipo sawa ila nataka kubadilisha nataka iyo h12 nitaipataje

    JibuFuta
  11. nataka Nöte 12 VIP hata Leo Niko ngerengere morogoro nilikosa town

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi