lnfinix kuzindua simu ya bei ya chini zaidi 5/4/2022


Infinix Mobile Tanzania ni kampuni ya simu ambayo imejikita zaidi kwenye kutafuta masoko yake nchi za Afrika na tangu mnamo mwaka 2020 Infinix mobile zime fanikiwa kwa asilimia 80 katika kuteka soko lasimu kwa watu wasaizi ya kati hii nikwasababu ya bidhaa zake yaani simu zenyewe na pamoja na bei zake zimekua ni rafiki sana kwa watu wa kipato chakati hadi chajuu na hivyo watu wengi wamekua wakizikimbilia kwani kile kinacho patikana kwenye simu za watu wajuu pia unaweza kukipata kwenye simu za INFINIX, 

kutoa kwenye matoleo yake ya simu yaliyo jigawa na kwasasa Afrika Infinix ni kwaajili ya watu wote kwani iko na matoleo ya smart na Hot ambayo nikwaajili ya wanafunzi na watu wenye kipato chakati zaidi kwa kua na mipangilio ambayo mahususi kwaajili ya group hilo la watu.


2022 Infinix Mobile inatarajia kufungua mwaka na Simu mpya yenye vitu vya pekee na ambayo kila mtu anaweza kuimiliki na ikakupa wadhifa waajabu kwani utakua watofauti na wakisasa zaidi kwa simu hii wanayo tarajia kuizindua week ya pili ya April.


JE! ungependa kufahamu ni simu Gani??

  • simu hii inakuja na betri kubwa na uwezo wachaji wa kuchi haraka 
  • simu hii inakuja na muundo maridhawa utakao kupa hadhi ya tofauti iwapo mikononi mwako
  • Simu hii inakuja na Ofa ya GB 78 za kutumia mwaka mzima
  • uwezo wa simu hii ni mkubwa 
  • na zaidi inakuja na storage kubwa kwaajili yako.

kutoka kwenye vyanzo maalumu simu hii inatarajiwa kuzinduliwa tar 5/04/2022 na kutakua na zawadi kem kem zitakazo tolewa siku hiyo kwani watakua live, na zaidi kuna simu ya bure itatolewa kwa watakao ingia live kupitia page za Infinix mobile Tanzania kwa siku hiyo.


kaa tayari usikose uzinduzi huu kwa update zaidi endelea kutembelea kurasa za Zoom tech ili uwe wa kwanza kupata yaliyo jili. 


#TechLazima

1 Maoni

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi