Kampuni ya Simu janja Tanzania Infinix Mobile wanatarajia kuzindua simu mpya ijumaa hii ya tarehe 13/06/2022.
Kwenye uzinduzi huozandaani kabisa zinasema atakuwepo msanii anayekuja kwa kasi na kufanya vizuri kwa sasa kutoka WCB Zuchu na pia watakuwepo watu maarufu wengi kuhakikisha jambo hili la Infinix linakuwa la kipekee kabisa na la ki-VIP kama simu inavyotajwa kuwa VIP.
Kupitia ukurasa wa kampuni hii ya Infinix wamekuwa wakionesha kuwa kuna ujio wa kitu hichi huku taarifa za ndaani kabisa zikisema linaenda kuwa tukio litakaloacha historia maana kuna suprise nyingi kutoka Infinix.
Au Zuchu atakuwa ambassador wa kampuni hii? Ni mawazo yetu tu ndugu msomaji wa Zoom Tech, Wewe una maoni gani juu ya hili?

Naikaribisha mtaani
JibuFutaInauzwa T sh ngap
JibuFutaGood
JibuFutaHffhj
FutaMimi nitakua wa kwanza kuinunua ka nilivyokua wa kwanza kuinunua Infinix not 11
JibuFutaItapatukana madukani,,,wapi???
FutaShingap na inaitwaje
JibuFutaInala u ngapi
JibuFutaSaw tuleeteni
JibuFutaKwisha habari, nadhani jmoc ntakua nayo mkononi!
JibuFutaIna beigani
JibuFutaBeigani na inautofaut
JibuFutaChapisha Maoni