Kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ya Samsung A53?

 Habari Wasomaji wa Zoom Tech na wapenzi wa teknolojia...

Leo tuangazie simu mbili za Infinix NOTE 12 VIP na Samsung A53, na mwishowe tutajua ni kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ya Samsung A53.



Tupitie pamoja sifa za simu hizi mbili za Infinix NOTE 12 VIP na Samsung A53;


CAMERA

Tukianza na camera simu ya Infinix NOTE 12 VIP ina camera yenye MP 108 huku ikiwa na teknolojia za kisasa zaidi kufanya kukupa picha nzuri zaidi na angavu.

Sumsung A53 ina kamera yenye MP 64 ikiwa inazidiwa mbali na simu ya Infinix NOTE 12 VIP  ambayo kamera yake ni kubwa zaidi na kuifanya simu kuwa VIP.


BETRI



Kwa upande wa betri simu ya Infinix NOTE 12 VIP ina 4500mAh na teknolojia ya 120W Fast Charging, teknolojia inayoifanya simu hii kuwa simu ya kwanza kuwa na uwezo wa kujaza 100% simu ndani ya dakika kumi na saba (17 Minutes).

Na upande wa Samsung A53 ina betri ya 5000mAh ikiwa na teknolojia ya 25W Fast Charging, Teknolojia hii inauwezo wa kujaza 100% ndani ya lisaa limoja na dakika kadhaa ikiwa nyuma sana kulinganisha na 120W ya Infinix NOTE 12 VIP.


STORAGE

Infinix NOTE 12 VIP imekuja na 13GB (8GB+5GB RAM Fusion) na 256GB Room kuifanya simu ya kwanza kwenye series ya NOTE yenye room kubwa na RAM kubwa zaidi.

Samsung A53 imekuja na 8GB RAM pamoja na 256GB Room ikiwa imezidiwa RAM na Infinix NOTE 12 VIP.


BEI

Kulingana na uchambuzi huo hapo juu, moja kwa moja unaweza kusema hapo simu ghari zaidi ni Infinix NOTE 12 VIP ila ukweli ni kuwa ni tofauti, Infinix NOTE 12 VIP inapatikana kwa Tsh. 820,000/= huku simu ya Samsung A53 ikipatikana kwa Tsh. 875,000/=


Mpaka hapo tunadhani utakuwa umefahamu kwanini ununue simu ya Infinix NOTE 12 VIP badala ya Samsung A53.

Simu zote zinapatikana madukani kwa sasa, Acha comment yako hapo chini kama kuna kitu kuhusiana na hizi simu mbili ungependa kukifahamu zaidi;


#TechLazima

37 Maoni

  1. Nzuri sana, nahitaj Infinix note 12 VIP

    JibuFuta
  2. Aisee hii ni uhakika

    JibuFuta
  3. Ila Samsung wamepigwa hapa

    JibuFuta
  4. Bei gani?

    JibuFuta
  5. infinix vip

    JibuFuta
  6. Infinix ndo sm yamaana

    JibuFuta
  7. Infinix hot 10

    JibuFuta
  8. Infinix note 12 VIP

    JibuFuta
  9. Kioo ni aina gani tofautisha zote mbili.?

    JibuFuta
  10. Simu nzuri sana

    JibuFuta
  11. Infinix sio sm kabisa yaan , uwez kulinganisha na sumsung ,

    JibuFuta
    Majibu
    1. Hujui sim ww kaa chini uchunguze

      Futa
  12. Sana mapili maganda Ang Infinix good quality

    JibuFuta
  13. Sana mapili Po!!!

    JibuFuta
  14. Sana mapili po

    JibuFuta
  15. 𝚂𝚊𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚒𝚕𝚒 𝚙𝚊𝚛𝚊 𝚜𝚊 𝚊𝚜𝚊𝚠𝚊 𝚔𝚘𝚗𝚐 𝚗𝚊𝚗𝚐𝚑𝚒𝚑𝚒𝚛𝚊𝚖 𝚕𝚊𝚗𝚐 𝚗𝚐 𝚌𝚎𝚕𝚕𝚙𝚑𝚘𝚗𝚎

    JibuFuta
  16. Sana mapili para sa kapatid kong nag aaral

    JibuFuta
  17. I like Infinix it is my brand phone, I choose Infinix,I hope I'll be choosen too thank you.

    JibuFuta
  18. Sana po mapili po

    JibuFuta
  19. Sana po mapili

    JibuFuta
  20. ጥሩ ነው

    JibuFuta
  21. Sana mapili Infinix hot 10 napaka ganda ng Infinix ngayon

    JibuFuta
  22. Sana mapili

    JibuFuta
  23. Sana mapalad akong mapili

    JibuFuta
  24. Sana mapili para sa ina q

    JibuFuta
  25. Sana mapili

    JibuFuta
  26. i hope,mapili ako medyo luma n kasi infinix ko

    JibuFuta
  27. Sana ako Muna Ang ma pusoan nyu kc lageng naghahang Ang phone ko

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi