Habari Wasomaji wa Zoom Tech na wapenzi wa teknolojia...
Leo tuangazie simu mbili za Infinix NOTE 12 VIP na Samsung A53, na mwishowe tutajua ni kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ya Samsung A53.
Tupitie pamoja sifa za simu hizi mbili za Infinix NOTE 12 VIP na Samsung A53;
CAMERA
Tukianza na camera simu ya Infinix NOTE 12 VIP ina camera yenye MP 108 huku ikiwa na teknolojia za kisasa zaidi kufanya kukupa picha nzuri zaidi na angavu.
Sumsung A53 ina kamera yenye MP 64 ikiwa inazidiwa mbali na simu ya Infinix NOTE 12 VIP ambayo kamera yake ni kubwa zaidi na kuifanya simu kuwa VIP.
BETRI
Kwa upande wa betri simu ya Infinix NOTE 12 VIP ina 4500mAh na teknolojia ya 120W Fast Charging, teknolojia inayoifanya simu hii kuwa simu ya kwanza kuwa na uwezo wa kujaza 100% simu ndani ya dakika kumi na saba (17 Minutes).
Na upande wa Samsung A53 ina betri ya 5000mAh ikiwa na teknolojia ya 25W Fast Charging, Teknolojia hii inauwezo wa kujaza 100% ndani ya lisaa limoja na dakika kadhaa ikiwa nyuma sana kulinganisha na 120W ya Infinix NOTE 12 VIP.
STORAGE
Infinix NOTE 12 VIP imekuja na 13GB (8GB+5GB RAM Fusion) na 256GB Room kuifanya simu ya kwanza kwenye series ya NOTE yenye room kubwa na RAM kubwa zaidi.
Samsung A53 imekuja na 8GB RAM pamoja na 256GB Room ikiwa imezidiwa RAM na Infinix NOTE 12 VIP.
BEI
Kulingana na uchambuzi huo hapo juu, moja kwa moja unaweza kusema hapo simu ghari zaidi ni Infinix NOTE 12 VIP ila ukweli ni kuwa ni tofauti, Infinix NOTE 12 VIP inapatikana kwa Tsh. 820,000/= huku simu ya Samsung A53 ikipatikana kwa Tsh. 875,000/=
Mpaka hapo tunadhani utakuwa umefahamu kwanini ununue simu ya Infinix NOTE 12 VIP badala ya Samsung A53.
Simu zote zinapatikana madukani kwa sasa, Acha comment yako hapo chini kama kuna kitu kuhusiana na hizi simu mbili ungependa kukifahamu zaidi;


Nzuri sana, nahitaj Infinix note 12 VIP
JibuFutaSana mapili din ako
FutaAisee hii ni uhakika
JibuFutaIla Samsung wamepigwa hapa
JibuFutaBei gani?
JibuFutaAisee
JibuFutainfinix vip
JibuFutaInfinix ndo sm yamaana
JibuFutaInfinix
JibuFutaInfinix
JibuFutaInfinix hot 10
JibuFutaNeed
JibuFutaInfinix note 12 VIP
JibuFutaKioo ni aina gani tofautisha zote mbili.?
JibuFutaSimu nzuri sana
JibuFutaGood
JibuFutaInfinix sio sm kabisa yaan , uwez kulinganisha na sumsung ,
JibuFutaHujui sim ww kaa chini uchunguze
FutaInfinix
JibuFutaSana mapili maganda Ang Infinix good quality
JibuFutaSana mapili Po!!!
JibuFutaSana mapili po
JibuFuta𝚂𝚊𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚒𝚕𝚒 𝚙𝚊𝚛𝚊 𝚜𝚊 𝚊𝚜𝚊𝚠𝚊 𝚔𝚘𝚗𝚐 𝚗𝚊𝚗𝚐𝚑𝚒𝚑𝚒𝚛𝚊𝚖 𝚕𝚊𝚗𝚐 𝚗𝚐 𝚌𝚎𝚕𝚕𝚙𝚑𝚘𝚗𝚎
JibuFutaSana mapili para sa kapatid kong nag aaral
JibuFutaI like Infinix it is my brand phone, I choose Infinix,I hope I'll be choosen too thank you.
JibuFutaSana po mapili po
JibuFutaSana po mapili
JibuFutaጥሩ ነው
JibuFutaSana mapili Infinix hot 10 napaka ganda ng Infinix ngayon
JibuFutaSana mapili
JibuFutaSana mapalad akong mapili
JibuFutaSana mapili para sa ina q
JibuFutaSana mapili
JibuFutaJibu
JibuFutaI hope
JibuFutai hope,mapili ako medyo luma n kasi infinix ko
JibuFutaSana ako Muna Ang ma pusoan nyu kc lageng naghahang Ang phone ko
JibuFutaChapisha Maoni