Toleo la TECNO CAMON 19 ambalo lililozinduliwa
rasmi katika soko la Tanzania mapema mwezi Julai, ni mahususi kwa ajili ya
wadau wa mitindo ili kuondokana na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na
upigaji picha nyakati za usiku na mwanga hafifu kutokana na sifa zake za
kustaajabisha.
Simu hii mahiri imekuja na sifa bora na kabambe ambazo zimeleta suluhisho kwa wadau wa simu janja duniani kote wanaotafuta simu mahiri na bora yenye utendaji kazi pamoja na upigaji picha wa viwango vya juu.
![]() |
| Sifa Kuu za TECNO CAMON 19 |
64MP Bright Night Portrait with New
Standard for Nighttime Images
Ikiwa na kamera yake kuu ya 64MP yenye
lensi ya glasi ya RGBW iliyotengenezwa kwa ushirikiano na Samsung, kamera ya
usiku ya CAMON 19 Pro inaweka viwango vipya vya kunasa kwa usahihi picha angavu
katika mazingira ya mwanga hafifu. Hili linakamilishwa kwa kutumia mfumo ambao
unaiga mwelekeo wa jicho la mwanadamu na kuruhusu uchakataji wa mwanga wa
kipekee, pamoja na lenzi ya kioo ambayo huongeza upokeaji wa mwanga kwa zaidi
ya asilimia 208 na kuongeza mwangaza wa picha kwa kiasi kikubwa.
0.98mm Slimmest Bezel, Dazzling
Backshell with 200 million stars
TECNO CAMON 19 Pro ina bezel nyembamba
zaidi inayounda inchi 6.8 FHD+, ili kutoa utumiaji wa kina usio na kifani. Pia
imepambwa kwa mipako inayofanana na almasi milioni 200 ambayo huleta umbile la
hali ya juu na kuepuka uchafu wa alama za vidole.
TüV Rheinland Certification Display at
120Hz High Refresh Rate
Kukamilisha urembo maridadi, TECNO CAMON 19
Pro imekuja na vipengele muhimu vya utendaji kazi vinavyoangazia urahisi wa
mtumiaji ili kuunda matumizi bora ya burudani. Iwe unacheza michezo, kutazama
video, au kuingia kwenye mitandao ya kijamii, simu hii ina Onyesho la Wide
Color Gamut na kasi ya 120Hz, ikiboresha simu kwa uwazi, mwangaza na usahihi wa
rangi kwa matumizi mazuri ya kutazamwa.
5000 mAh Battery + 33-Watt Flash Charge
TECNO CAMON 19 Pro inaendeshwa na chipset
ya MediaTek Helio G96 yenye skrini bora, nguvu zaidi ya kuchakata picha na kasi
ya juu zaidi. Kuishiwa kwa nishati hakutakuwa tatizo kwa CAMON 19 Pro, kutokana
na betri yake ya 5000 mAh, pamoja na Chaji ya 33-Watt Flash.
CAMON
19 Pro ina lenzi ya 2X ya kukuza vitu. Umbali wa zaidi ya urefu wa 50mm
huruhusu watumiaji kuchukua video na kupiga picha zilizo bora na angavu bila kuharibwa.
Chagua lenzi ya 2x iliyo na bokeh ili kuweza kuboresha upigaji picha na video
mbalimbali.
Stylish Design
Toleo la CAMON 19 lina muundo wa fremu
nyembamba sana na mpangilio mzuri wa kamera tatu za pete-mbili na muundo wa
kamera wenye nguvu unaoipa mwonekano wa kupendeza. CAMON 19 Pro hivi
majuzi imeshinda Tuzo za 2022 IF Design kwenye kipengele cha muundo bora wa
bidhaa. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu,
na kuthibitisha dhamiri ya chapa hiyo katika uvumbuzi wa kiteknolojia na
mafanikio endelevu.
![]() |
| Tuzo za IF Design 2022 |
Bei na Upatikanaji wa TECNO CAMON 19
Series
TECNO CAMON 19limekuja katika matoleo
matatu ya CAMON 19, CAMON 19 Pro na CAMON 19 Pro 5G ambayo itawasili mwishoni
mwa mwezi Julai. Bei ni Tsh 450,000 kwa CAMON 19 (128+4GB), Tsh 510,000 kwa
CAMON 19 (128+6GB), Tsh 660,000 kwa CAMON 19 Pro, na Tsh 790,000 kwa CAMON 19
Pro 5G. Tembelea duka lolote la TECNO au duka la Vodacom ili kujipatia simu
hii.
Agiza mtandaoni kupitia INALIPA; https://www.inalipa.co.tz/stores/tecno#/
Kwa maelezo zaidi piga namba; 0744 545
254 au 0678 035 208.







Simu nzuri, ni sh. Ngapi?
JibuFutaZinapatikana wapi hapa Mwanza
JibuFutaHow about I am lucky?
JibuFutahow about i am lucky?
JibuFutaHow about i am lucky
JibuFutaMy contact 01911072869
JibuFutaHow about I am lucky? Did I get agift
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
FutaAmazing 🤩
JibuFutahow to gate that
JibuFutaHow lucky am i?
JibuFutaHow lucky am i
JibuFutaUkwel simu hizo ni nzuri sana
JibuFutaChapisha Maoni