Nimeshawahi kuandika Makala kuhusu Kampuni hizi mbili mama Infinix na TECNO. Kwanza ifahamike brand hizi mbili zinalenga watu wa aina mbili tofauti, Infinix inafahamika kama kampuni changa inayokuwa kwa kasi ikijikita kwa vijana zaidi wenye kupendelea fashion na teknolojia na TECNO ni kampuni kongwe ili jizolea umaarufu hapo awali ikiwalenga Zaidi watu wa kipato cha kati ambapo teknolojia na fashion sio kipengelee muhimu katika kuwasilisha bidhaa yao sokoni.
Kutofautisha aina ya wateja wa
Infinix na TECNO si lengo la Makala hii lengo langu ni kuondoa utata ambao bado
umeendelea kuwepo kuwa ipi simu bora zaidi kati ya Infinix NOTE 12 VIP na TECNO
Camon 19 pro na haya ni majibu ya baadhi ya mitandao ya tech baada ya
kuzishindanisha; https://www.youtube.com/watch?v=meoPpZgF_xw
https://www.youtube.com/watch?v=QNgDr2qqYzU
ukifuatilia hizi link utagundua kila simu ni bora kulingana na aina ya wateja wake, Infinix ni ya vijana wenye ujuzi wa Tech hivyo Infinix imehakikisha kila feature ni ya kwenda kabisa ambapo TECNO haijalizingatia hili swala la teknolojia na utandawazi wa asilimia 100 kama ambavyo Infinix imejitahadharisha katika hili na hapa ndio Infinix inakuwa bora zaidi sababu teknolojia na ubunifu uliopo ndani ya Infinix NOTE 12 VIP unaweza kuishi kwa miaka zaidi ya miwili pasipo kupinduliwa na kampuni yoyote ya simu.
TOFAUTI: Infinix NOTE 12 VIP na TECNO Camon 19 pro.
NOTE 12 VIP 120 Charging watt/Camon 19 pro 33
Charging watt.
Chaji ya Infinix NOTE 12 VIP ina watt
120 kwa mujibu wa tafiti mbalimbali chaji hii inatumia dakika 17 tu kuijaza
simu ya Infinix NOTE 12 VIP chaji kwa record zetu Infinix NOTE 12 VIP ni simu
ya kwanza ya bei nafuu zaidi duniani kufanya jambo hili huku muhasimu wake
TECNO Camon 19 pro ikikuchukua lisaa limoja na dakika 5 chaji kufikia asilimia
100 kutokana na chaji kuwa na watt 33 ambayo ni ndogo katika upitishaji umeme.
NOTE
12 VIP Kioo ni Amoled/Camon 19 pro Kioo ni IPS.
Brand zote nguli kama vile Samsung na
nyenginezo hutumia kioo cha AMOLED kama ambavyo ilivyo kwa Infinix NOTE 12 VIP lakini
pia haitoshi pamoja ya kuwa AMOLED kinasifa hizi katika simu kama kutunza
chaji, kupeleka taarifa mapema unapogusa kioo, kuonyesha rangi halisi ya picha
zaidi ya sifa hizi display ya NOTE 12 VIP imeongezewea teknolojia katika kioo
hiki chenye kukupa rangi zaidi ya billion moja kulingana na mazingira ya
uchukuaji wa picha lakini kwa Camon 19 pro sivyo hivi bado inaendelea
kujiburuza na display ya IPS iliyo nje ya wakati na kinatumia nguvu nyingi
kupeleka taarifa kwenye processor na kuifanya simu itumie chaji ya battery kwa
nguvu kubwa na kuifanya simu ipate moto na kuishiwa chaji kwa haraka.
NOTE
12 VIP kamera kuu ni MP108/Camon 19 pro kamera kuu ni MP64.
Kwa mujibu wa TECNO Camon series
zinawakilisha ubora wa kamera lakini je kwa wadau wanaolinganisha simu hizi
mbili unahisi MP64 ni bora kuzidi MP108 ya Infinix NOTE 12 VIP camera saidizi
za TECNO Camon 19 pro ni MP50+MP2 na Infinix NOTE 12 VIP ni MP13+MP2 hapa
naweza sema TECNO wameupiga mwingi kwenye kamera saidizi.
NOTE
12 VIP Gaming speed na Video qualiti ni nyuzi 1440p@1080p@60fps/Camon 19
pro1080p@30fps.
Kwa vipimo ivyo ni sawa na kusema
kichunguzi(monitor) cha inchi 27 cha pixel 1080 kinatakribani saizi 78 za pixel
kwa inchi wakati kifuatilizi(monitor) cha inchi 27 cha pixel 1440 kina
takribani saizi 108 za pixel za kamera hivyo kwa kifupi video yenye kurecordiwa
na Infinix NOTE 12 VIP ni bora zaidi ya camon 19 pro bado haitoshi kasi ya
gaming ya NOTE 12 VIP ni mara mbili zaidi ukilinganisha na Camon 19 pro Camo 19
pro frame rate ni 30fps na NOTE 12 VIP ni 60fps endapo kuwa simu zote ni
Mediatek G96 lakini Infinix NOTE 12 VIP kwa features/vidokezi hivi ni simu
sahihi kwa gamers na videographers.
Hitimisho.
Mimi nahitimisha hivi kwa Infinix NOTE
12 VIP ni simu bora zaidi ya TECNO Camon 19 pro kulingana na mahitaji ya
watumiaji wa smart phone wengi hufahamu nini wanakitaka na kinamsaida gani
katika maisha ya kila siku mbali na yote usiache kutembelea maduka yao na kwa
mujibu wa mtandao @infinixmobiletz
kwa kipindi cha mwezi huu ukinunua Infinix NOTE 12 series unaweza ondoka na
Smart TV, Laptop au NOTE 12 VIP mpya.
Na kwasasa kampuni hii ya simu ina fanya promosheni kubwa ambayo inarudisha fadhila kwa wateja wake na watumiaji wa bidhaa zao...
Je ungependa pia kufahamu zaidi juu ya promotion hii ambayo wanatoa zawadi kem kem na ni kwa kila mtu atakae fika? chakufanya endelea kua karibu na kurasa zetu ili kufahamu zaidi juu ya kampuni hii ya simu na maendeleo yake kwani ndio kampuni inayo fanya vizuri kwa sasa.
#TechLazima

Kwaio shing ngp dukn
JibuFutaChapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.
Futasasa simngemalizia na hiyo promosheni ili tujiandae.
JibuFutaAsante sana Rich, kwa maelezo juu ya promoshen hiyo tuta toa post nyingine, endelea kufuatilia page yetu kwa taarifa zaidi
Futabei kwasas shngapi??? mana walisema 820k ila saivi tukienda mlimani ni 950k
JibuFutabei elekezi ni 820,000Tsh Boss
Futanakubali sana infinix ila hii vip bei sana na mfuko mdogo hahhahhha
JibuFutakaribu sana Riziki... ukitembelea maduka ya infinix yana matoleo mengi sana kwa mahitaji ya kila mtanzania hakika na wewe utapata toleo kwaajili yako. wana duka mlimani city na kkoo china plaza.
FutaSimu nzuri sana, Bei yake?
JibuFutani 820,000 Tsh
FutaSimu nzuri sana hii, ntanunua mwisho wa mwezi
JibuFutakaribu sana fika madukani mlimani city au kkoo china plaza
FutaTUNAOMBA mrekebishe sauti Huwa zinakata simu zenu hasa hizi 10i yakwangu Ina miezi sita tu imekata sauti inalia kidogo
JibuFutaAsante sana kwa mrejesho na taarifa zako zimefikishwa na zitafanyiwa kazi.
FutaInfinix na Tecno zinatengenezwa na kampuni moja
JibuFutaPamoja na Itel
hapana... ni kampuni tatu tofauti
Futawe nae vip unaeeza kutuonrsha infinix car care😁 ukiwa na infinix ndo tecno mzee sema VAMON MODEL NI BETTER+
JibuFutaasante kwa maoni Boss
FutaNahitaji Infinix note 10 .Bei yake sh ngap
JibuFutaNipo na hot 12i apa ningeomba nipewe ata GB flan hv za Bure kama bonus la kuisupport brand yenu
JibuFutaNatak kujuw bei ya infinix note 11pro
JibuFutaNimeikubali mno hiyo infinix iko bomba kiukwel
JibuFutaKwel nizur Sana hz sm Ila saut zinakata yang umekata saut ndgo
JibuFutaChapisha Maoni