KAMPUNI YA SIMU INFINIX YAICHAKAZA VIKALI KAMPUNI YA SIMU TECNO.

Nimeshawahi kuandika Makala kuhusu Kampuni hizi mbili mama Infinix na TECNO. Kwanza ifahamike brand hizi mbili zinalenga watu wa aina mbili tofauti, Infinix inafahamika kama kampuni changa inayokuwa kwa kasi ikijikita kwa vijana zaidi wenye kupendelea fashion na teknolojia na TECNO ni kampuni kongwe ili jizolea umaarufu hapo awali ikiwalenga Zaidi watu wa kipato cha kati ambapo teknolojia na fashion sio kipengelee muhimu katika kuwasilisha bidhaa yao sokoni.

Kutofautisha aina ya wateja wa Infinix na TECNO si lengo la Makala hii lengo langu ni kuondoa utata ambao bado umeendelea kuwepo kuwa ipi simu bora zaidi kati ya Infinix NOTE 12 VIP na TECNO Camon 19 pro na haya ni majibu ya baadhi ya mitandao ya tech baada ya kuzishindanisha; https://www.youtube.com/watch?v=meoPpZgF_xw

https://www.youtube.com/watch?v=QNgDr2qqYzU

 

ukifuatilia hizi link utagundua kila simu ni bora kulingana na aina ya wateja wake, Infinix ni ya vijana wenye ujuzi wa Tech hivyo Infinix imehakikisha kila feature ni ya kwenda kabisa ambapo TECNO haijalizingatia hili swala la teknolojia na utandawazi wa asilimia 100 kama ambavyo Infinix imejitahadharisha katika hili na hapa ndio Infinix inakuwa bora zaidi sababu teknolojia na ubunifu uliopo ndani ya Infinix NOTE 12 VIP unaweza kuishi kwa miaka zaidi ya miwili pasipo kupinduliwa na kampuni yoyote ya simu.


    TOFAUTI: Infinix NOTE 12 VIP na TECNO Camon 19 pro.

 


NOTE 12 VIP 120 Charging watt/Camon 19 pro 33 Charging watt.

Chaji ya Infinix NOTE 12 VIP ina watt 120 kwa mujibu wa tafiti mbalimbali chaji hii inatumia dakika 17 tu kuijaza simu ya Infinix NOTE 12 VIP chaji kwa record zetu Infinix NOTE 12 VIP ni simu ya kwanza ya bei nafuu zaidi duniani kufanya jambo hili huku muhasimu wake TECNO Camon 19 pro ikikuchukua lisaa limoja na dakika 5 chaji kufikia asilimia 100 kutokana na chaji kuwa na watt 33 ambayo ni ndogo katika upitishaji umeme.

 

NOTE 12 VIP Kioo ni Amoled/Camon 19 pro Kioo ni IPS.

Brand zote nguli kama vile Samsung na nyenginezo hutumia kioo cha AMOLED kama ambavyo ilivyo kwa Infinix NOTE 12 VIP lakini pia haitoshi pamoja ya kuwa AMOLED kinasifa hizi katika simu kama kutunza chaji, kupeleka taarifa mapema unapogusa kioo, kuonyesha rangi halisi ya picha zaidi ya sifa hizi display ya NOTE 12 VIP imeongezewea teknolojia katika kioo hiki chenye kukupa rangi zaidi ya billion moja kulingana na mazingira ya uchukuaji wa picha lakini kwa Camon 19 pro sivyo hivi bado inaendelea kujiburuza na display ya IPS iliyo nje ya wakati na kinatumia nguvu nyingi kupeleka taarifa kwenye processor na kuifanya simu itumie chaji ya battery kwa nguvu kubwa na kuifanya simu ipate moto na kuishiwa chaji kwa haraka.

 

NOTE 12 VIP kamera kuu ni MP108/Camon 19 pro kamera kuu ni MP64.

Kwa mujibu wa TECNO Camon series zinawakilisha ubora wa kamera lakini je kwa wadau wanaolinganisha simu hizi mbili unahisi MP64 ni bora kuzidi MP108 ya Infinix NOTE 12 VIP camera saidizi za TECNO Camon 19 pro ni MP50+MP2 na Infinix NOTE 12 VIP ni MP13+MP2 hapa naweza sema TECNO wameupiga mwingi kwenye kamera saidizi.

 

NOTE 12 VIP Gaming speed na Video qualiti ni nyuzi 1440p@1080p@60fps/Camon 19 pro1080p@30fps.

Kwa vipimo ivyo ni sawa na kusema kichunguzi(monitor) cha inchi 27 cha pixel 1080 kinatakribani saizi 78 za pixel kwa inchi wakati kifuatilizi(monitor) cha inchi 27 cha pixel 1440 kina takribani saizi 108 za pixel za kamera hivyo kwa kifupi video yenye kurecordiwa na Infinix NOTE 12 VIP ni bora zaidi ya camon 19 pro bado haitoshi kasi ya gaming ya NOTE 12 VIP ni mara mbili zaidi ukilinganisha na Camon 19 pro Camo 19 pro frame rate ni 30fps na NOTE 12 VIP ni 60fps endapo kuwa simu zote ni Mediatek G96 lakini Infinix NOTE 12 VIP kwa features/vidokezi hivi ni simu sahihi kwa gamers na videographers.  

 

Hitimisho.

Mimi nahitimisha hivi kwa Infinix NOTE 12 VIP ni simu bora zaidi ya TECNO Camon 19 pro kulingana na mahitaji ya watumiaji wa smart phone wengi hufahamu nini wanakitaka na kinamsaida gani katika maisha ya kila siku mbali na yote usiache kutembelea maduka yao na kwa mujibu wa mtandao @infinixmobiletz kwa kipindi cha mwezi huu ukinunua Infinix NOTE 12 series unaweza ondoka na Smart TV, Laptop au NOTE 12 VIP mpya.


Na kwasasa kampuni hii ya simu ina fanya promosheni kubwa ambayo inarudisha fadhila kwa wateja wake na watumiaji wa bidhaa zao...


Je ungependa pia kufahamu zaidi juu ya promotion hii ambayo wanatoa zawadi kem kem na ni kwa kila mtu atakae fika? chakufanya endelea kua karibu na kurasa zetu ili kufahamu zaidi juu ya kampuni hii ya simu na maendeleo yake kwani ndio kampuni inayo fanya vizuri kwa sasa.


#TechLazima

23 Maoni

  1. Kwaio shing ngp dukn

    JibuFuta
    Majibu
    1. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

      Futa
  2. sasa simngemalizia na hiyo promosheni ili tujiandae.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Asante sana Rich, kwa maelezo juu ya promoshen hiyo tuta toa post nyingine, endelea kufuatilia page yetu kwa taarifa zaidi

      Futa
  3. bei kwasas shngapi??? mana walisema 820k ila saivi tukienda mlimani ni 950k

    JibuFuta
  4. RIZIKI AZIKIWE17 Agosti 2022, 11:09

    nakubali sana infinix ila hii vip bei sana na mfuko mdogo hahhahhha

    JibuFuta
    Majibu
    1. karibu sana Riziki... ukitembelea maduka ya infinix yana matoleo mengi sana kwa mahitaji ya kila mtanzania hakika na wewe utapata toleo kwaajili yako. wana duka mlimani city na kkoo china plaza.

      Futa
  5. Simu nzuri sana, Bei yake?

    JibuFuta
  6. Simu nzuri sana hii, ntanunua mwisho wa mwezi

    JibuFuta
    Majibu
    1. karibu sana fika madukani mlimani city au kkoo china plaza

      Futa
  7. TUNAOMBA mrekebishe sauti Huwa zinakata simu zenu hasa hizi 10i yakwangu Ina miezi sita tu imekata sauti inalia kidogo

    JibuFuta
    Majibu
    1. Asante sana kwa mrejesho na taarifa zako zimefikishwa na zitafanyiwa kazi.

      Futa
  8. Infinix na Tecno zinatengenezwa na kampuni moja
    Pamoja na Itel

    JibuFuta
  9. we nae vip unaeeza kutuonrsha infinix car care😁 ukiwa na infinix ndo tecno mzee sema VAMON MODEL NI BETTER+

    JibuFuta
  10. Nahitaji Infinix note 10 .Bei yake sh ngap

    JibuFuta
  11. Nipo na hot 12i apa ningeomba nipewe ata GB flan hv za Bure kama bonus la kuisupport brand yenu

    JibuFuta
  12. Natak kujuw bei ya infinix note 11pro

    JibuFuta
  13. Nimeikubali mno hiyo infinix iko bomba kiukwel

    JibuFuta
  14. Kwel nizur Sana hz sm Ila saut zinakata yang umekata saut ndgo

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi