Habari njema kwa watumiaji wa simu janja za mkononi.
Kampuni ya simu
Infinix kupitia mtandao wa kijamii @infinixmobiletz
ya thibitisha juu ya ujio wa Infinix ZERO ULTRA 5G nchini Tanzania. Infinix
ZERO ULTRA 5G kuzinduliwa rasmi Oktoba 13 na kwa tetesi za chini chini Infinix
kushirikiana na Vodacom Plc kampuni ya kwanza yenye Mtandao wa kasi ya 5G
nchini Tanzania kuzindua simu hiyo mahiri. Infinix imeweka wazi baadhi ya sifa
za Infinix ZERO ULTRA 5G na juu ya ushirika wake na Royal Meseums Greenwich https://www.instagram.com/p/CjZt0a7tEYr/
.
Kwa mujibu wa
kampuni hii Infinix ZERO ULTRA 5G inatarajiwa kuwa na features zenye uwezo
wakuyafanya haya;
Kioo cha AMOLED na Refresh Rate 120Hz
· Tutegemee kuona ufungukaji wa applications ambavyo utafanyika kwa haraka kwa simu hii pia inasemekana features hizi mbili zimeimarisha ubora wa rangi wa picha na ulaini wa kioo kufunguka kwa application ni kufumba na kufumbua.
Chaja Watt 180.
· Tutegemee kupokea simu ya kwanza ya bei nafuu zaidi duniani kujaa chaji kwa dakika 12 tu na kudumu na chaji siku nzima pasipo kuzima data.
Kamera 200MP na OIS
·
Inasemekana ni simu ya kwanza
kuja na aina hii ya kamera sensor hivyo tutegemee kuona Infinix ZERO ULTRA 5G kuchukua
picha na video zenye Quality ukubwa wa Camera Sensor inavuta kwa ukaribu tukio la
picha halisi ya mazingira pasipo kuathiriwa na umbali, Giza au udogo wa kitu.
Uzinduzi kufanyika mubashara @infinixmobiletz kesho saa 6:00 mchana.
kutoka ndani zaidi huu ndio muonekano inasemekana wa simu hii ambayo ita zinduliwa kesho na kampuni ya simu ya infinix.
je uko tayari kua wakwanza kuitumia na kuifahamu zaidi simu hii?
#Techlazima
.jpg)
Itakuwa ni sh ngapi?
JibuFuta1,300,000 za kitanzania
FutaBei yake ipoje??
JibuFutaBoss ZERO ULTRA ni Tsh. 1,500,000/=
FutaKaribu sana.
Tutoleeni na zabeiyachin kidogo,
JibuFutaTupeni kwa mkopo
JibuFutaBEI bosi WHTSAPP no.0673551994
JibuFutaYa bei ya chini ni bei gani
JibuFuta1.5 M mpaka 1.3M
FutaInauzwa shilingi ngapi za kitanzania
JibuFuta1.5 Milioni
FutaMkopo tulips kidogo kidogo Mambo yatakuwa poa Sana sisi Tisha kua wadau wenu wakubwa Sana tupeni na matangazo ili tufaidike na mtandao tuweze kuwatangaza zaidi
JibuFutaWapi zinapatikana kiurais
JibuFutaChapisha Maoni