INFINIX YAWA TISHIO KWA MAKAMPUNI YA SIMU KUJA NA SIMU YA 5G YA KWANZA DUNIANI.

 UNA HABARI??? Soma pole pole tukupe siri ya kampuni hii ya simu inayo kuja kuvunja rekodi tena kwamara nyingine kwenye soko la simu nchini.

Ikiwa zimesalia siku chache kwa simu ya Infinix ZERO ULTRA 5G kuzinduliwa kimataifa, tayari simu hii imeweza teka hisia za watu wengi duniani baada ya picha za simu hii kuenea mitandaoni kote zikionyesha baadhi ya sifa kama chaji ya Watt 180 na Camera ya Megapixel 200 kwa ukaribu zaidi.

Kwa mujibu wa mtandao wa kijamii wa kimataifa @infinixglobal Infinix ZERO ULTRA 5G kuzinduliwa Octoba 5 Kimataifa, kwa mara nyengine tena Infinix yashirikiana na wataalamu wa anga @royalmuseumsgreenwich ili kuonyesha uhodari na uthibitisho wa bora wa camera ya zimu hii.

Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali za TECH kimataifa kama HG tech,GSMArena na nyinginezo zinatudodosa kuwa itamchukua mtumiaji dakika 12 au pungufu kufikisha asilimia % kutokea asilimia 0.



Bado bei ya simu hii ya kimataifa haijatambulika lakini tetesi zinadai ni simu ya kwanza duniani kuja na sifa hizi kuwa na bei ya chini zaidi. Ni feature gani nyengine unategemea kuwepo kwenye simu hii?

Kwa maswali zaidi piga 0743558994

 


28 Maoni

  1. Mmetisha sana, hii nasubiria kwa hamu

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kaa karibu na kurasa za Infinix Uipate itakapo fika

      Futa
  2. Infinix wanakuwa siku hadi siku kweli kuna umuhimu wa makampuni kongwe ya simu kuwa makini 180watt ni noma

    JibuFuta
    Majibu
    1. Hakika, Wamekuja kuonesha kuwa kila kitu kinawekana

      Futa
  3. Asante sana, 108 watt hiyo sio kitoto

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mmetisha naisubili kwa hamu sana

      Futa
    2. Nimewaerewa hapo mmetisha

      Futa
    3. Inasemekana Inajaza simu ndani ya dakika 12 tu.

      Futa
  4. Mimi naomba ikitokea tu mnijulishe mlio karibu na mijini. Wengine tuko vijijini mno, ni ngumu kujua kama ushafika madukani.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Boss Infinix Wamesema tarehe 13 wanaizindua, Kaa tayari na Uvunje kibubu maana mda unakaribia

      Futa
  5. Namba ni 0753522507/ 0692517984

    JibuFuta
  6. Nakubali san

    JibuFuta
  7. Zimeshafika au bado.

    JibuFuta
  8. Infinixworld
    Hamnaga kazi mbovu 🔥🔥 ni chuma juu ya chuma

    JibuFuta
  9. Infinix ndiyo kampuni linalotoa simu zenye ubora Hii niyetu sote siyo yakukusa

    JibuFuta
    Majibu
    1. Nasubiri simu hiyo ata Leo nphate iliko

      Futa
  10. Inatisha kwa kweli

    JibuFuta
  11. Yani mko vizuli

    JibuFuta
  12. Kwa sifa hizo nami nitajitungua

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kwa sifa hizi kiukweli sio simu ya kuikosa

      Futa
  13. Nimeipemda hio pia ninaisubili kwahamu hio siku

    JibuFuta
  14. Woooooow🔥🔥🔥

    JibuFuta
  15. Naisubiri kwa hamu ikifika nipigie na. +255754446868

    JibuFuta
  16. Wewe jamaa,,yaani comments zako zinajaza post nzima;halafu unasahau kama umeandika namba nyingine kwenye comments za hapo juu;...
    Wanakutumia vizuri ila wewe unatumika vibaya

    JibuFuta
  17. Aiseee mmetishaaaaaa natamani niipate inapatikan wapi iyoo mim Niko mwanza ntaipataje

    JibuFuta
  18. Jambo jema

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi