Kampuni ya simu Infinix inamatoleo mbalimbali ya simu ambapo toleo kubwa ni Infinix ZERO series, ikifuatiwa na Infinix NOTE Series, kisha HOT series na mwisho ni Smart Series. Infinix imeorodhesha matoleo yake kwa mfumo huu ili kuhakikisha kila mwenye uhitaji wa smartphone aweze kumiliki.
ZERO ULTRA
Mnamo October Mwaka huu kupita
series ya ZERO, Infinix ilizindua rasmi Infinix ZERO ULTRA 5G ambayo inaifanya
kampuni ya simu Infinix kushikilia nafasi ya kwanza duniani kuwa na simu yenye fast
charge ya watt 180 ambayo ndio simu ya kwanza duniani kujaza chaji asilimia 100
ndani ya dakika 12 kutokea asilimia 0.
Infinix ZERO pia inafahamika kama simu ya
kwanza duniani kuwa na camera ya Megapixel 200+OIS nyuma. Baada ya
kuthibutishwa na wataalam wa Anga @royalmuseumsgreenwich
imethibitika Infinix
ZERO ULTRA ni simu yenye uwezo wa kuchukua picha za anga na kuchukua picha za
matukio ya mtikisiko pasipo kuwa na ukungu.
NOTE 12 VIP
Series ya NOTE inatambulika na
Kampuni hii kuwa series ya watu wasio na makeke ila ufanisi katika kazi ndio
wanachozingatia na wengependelea simu ambayo inauwezo mkubwa wa kuchakata kazi
kwa haraka. Infinix NOTE 12 VIP inatumia kichakata kazi kitaalamu CPU cha
MediaTek G96 si rahisi kupata moto na inauwezo mkubwa wa kuendesha programs
kubwa kwa haraka.
Kama inavyofahamika ni simu kwajili ya kazi,
Infinix NOTE 12 VIP ina kioo mahiri aina ya AMOLED chenye utajiri wa rangi
billion moja(1B) hivyo hutoa rangi halisi ya tukio la picha, video kulingana na
rangi halisi ya eneo husika.
HOT 12
Toleo jengine ambalo hawa mabingwa
wamelipa hadhi kubwa baada ya kupotea tolea la ‘S’ ni Infinix ‘HOT’ mabadiliko
yameanza kuonekana kwenye HOT 12. Infinix HOT 12 pamoja ya kuwa ni simu yenye
gharama nafuu kuzidi series ya NOTE lakini inafeatures mahiri, tukianzia na
memory Infinix HOT 12 inakimbizana na series ya NOTE 12 zikiwa na GB128 ya ROM.
Infinix HOT 12 ni kimbilio la watu wenye
kutumia muda mwingi wakiwa katika pirika pirika kama wasafiri n ahata wanaoishi
maeneo yenye shida ya umeme. Infinix HOT 12 inabattery ya mAh 5000 yenye kudumu
na chaji masaa 48 kwa matumizi ya kawaida.
SMART 6
Infinix Smart 6 ni simu pekee katika
soko la simu kwa sasa yenye kigezo hiki kwa mujibu wa kampuni ya Infinix, umbo
la nje la simu hii limetengenezwa na material maalumu lenye kuzuia virusi vya
corona kuishi kwenye simu hiyo na kutua kwa mtumiaji. Sifa nyengine ni GB 64 ya
Rom, Camera Megapixel 8, kioo inch 6.6 na battery mAh 5000.
UPATIKANAJI
Simu hizi
zinapatikana kwa bei ya punguzo katika msimu huu wa sikukuu za Chrismas na
Mwaka Mpya vile vile kupitia promosheni ya PIGA UTOBOE ukinunua kati ya simu
hizo utajiweka katika nafasi ya kujishindia Pikipiki, Fridge na TV ya inch 65
tembelea maduka yote ya simu nchini usipitwe na ofa hizi.
Kwa huduma
ya haraka piga 0712602970.

.jpeg)

.jpeg)
Mimi natumia hot 12 play ni nzuri sana hasa kwenye change
JibuFutaNinzuri Sana hatamimi natumia smat 4
FutaNi nzuri sana na ni imara
FutaNatumia smart 5
JibuFutaNatumia smart5 ninzuri hasa kwenye chaji na camera
FutaNzuri
JibuFutaNzuri
FutaIkosafisana
JibuFutaNatumia hot10I ninzuri inatunza chaji
FutaMimi ninatumiaa hoty 12 ipo vizuri kinoma hata picha zake safi kabisa ila ushauri wangu vifaaa viwepo ikiharibika tusisumbuke lakini simu zote za infn nilizotumiaa Mimi ziko sawa Wala haziungunzi ukitumiaa sana
JibuFutaMimi namtumia Infinix smart 6 ni nzuri
JibuFutaMm natumia HOT 11
JibuFutaNzur sana japo m natumia hot 10
JibuFutaMimi natumia hot12iko safi sana
JibuFutaNatumia hot 8 nisim nzuri sana inifinix haina shida
JibuFutaMimi na tumia xos naipenda sana hii kampuni ya infinix
JibuFutaMi natumia smart hd, uko poa upande wa charge inadum
JibuFuta🤣🤣🤣🤣🤣asie tumia Infinix basi hawezi kuwa na furaha
JibuFuta𝓂𝒾𝓂𝒾 𝓃𝒶𝓉𝓊𝓂𝒾𝒶 𝒮𝓂𝒶𝓇𝓉 4
Infinix hiini hatari Kama majaliwa mzee wa afutatu😂😂😂🙌🙌
JibuFutaMimi natumia note 12 hakika Iko vzr san katk chaji mpk mtandao
JibuFutaMimi natumia smat3 kiukwer hazin shida kwanza iko fasta sana kimtandao hat kwachaj inatunza san nahat ikiharibika lazima niilidie yahivi
JibuFutaMimi natumia hot 8 lite ni nzuriii haina shida aisee
JibuFutaMmi natumia hot 10 no poa sana
JibuFutaNi nzuri Sana inatunza charge haipotezi network
FutaNaitwa mwinyimvua Miminatumia
JibuFutahot 6 iko vizur
Yangu ni Smart6..nzuri ila earphone zinazingua mbovu tayari kabla hata ya mwezi.
JibuFutaInfinix note 12 i kwangu naiona poa sana na sasa familia nzima tuko na infinix
JibuFutaChapisha Maoni