Dj kutoka Clouds fm alamba shavu kwenye kampuni ya ORAIMO inayoongoza Afrika kwa kuuza accessories zenye ubora wa hali ya juu. Dj kutoka CLOUDS fm DJ SINYORITA kupitia posti yake ya Istagram wiki iliyopita akisema “Naombeni mnitagie the best earpod kali hapa ili nipange playlist noma kwaajili yenu” post hii ikapeleka kampuni ya ORAIMO kupendekeza earpod zao mpya FREEPOD 4. Kupitia post hiyo ikapelekaa Dj huyo kulamba shavu la ubalozi wa bidhaa ya FREEPOD 4 kutoka kampuni hiyo ya ORAIMO TANZANIA.
Uzinduzi wa bidhaa hiyo ulifanyika siku ya ijumaa tarehe March 3, 2023 ambapo DJ sinyorita alihudhuria kama mgeni rasmi. Pia alipata nafasi ya kuwaambia wapenzi wa bidhaa za ORAIMO kuwa “Bidhaa hii ni tofauti na earpod alizokuwa anatumia zamani maana amevutiwa na design yake (SLIDE CASE), mdundo na betri inayodumu zaidi ya saa 35, Pia ni rahisi kuitumia maana kuna APP special kwaajili ya kuzicontrol earpods zako na sifa nyenginezo kabambe za kukufanya ununue FREEPOD 4.”
FREEPOD 4 Ni bidhaa mpya kutoka kampuni ya
accessories ORAIMO ambayo imeboreshwa Zaidi kwenye upande wa betri ambapo,
utaweza kusikiliza muziki mwororo kwa
Zaidi ya masaa 30, maana yake Zaidi ya siku moja na nusu. Sio hivyo tuu bali
inakuja na sifa nyengine ya Active Noise Cancellation. Sifa hii itakusaidia
kusikiliza mziki au kuongea na simu bila muingiliano wa sauti za nje, FREEPOD 4
ina zuia sauti za nje (Hautaweza kusikia sauti za watu, vitu vyengine pindi
ukiweka ON) kwahiyo itakupa uhuru wa kuenjoy kila utakachoko kuwa unasikiliza.
Pia Kwa wale watumiaji na wapenzi wa Earbuds, hii bidhaa ni special kwao maana
inakuja na muundo mpya wa Sliding Case pamoja na APP rasmi (oraimo sound) utakayotumia
kuzi-control buds zako. Pia wameboresha zaidi Betri, Muonekano na Functions
zitakazopatikana ndani ya App.
Bidhaa hii inapatikana katika maduka yote ya Accessories Tanzania nzima. Hivyo basi wapenda bidhaa za ORAIMO au wapenzi wa kutumia Earbud mjiandae kupokea bidhaa hii kali. Kufahamu Zaidi kuhusu bidhaa za ORAIMO tembelea tovuti yao: https://www.oraimo.com/. Au kwenye page zao za mitandao ya ijamii : https://www.instagram.com/oraimotz/

Oraimo wanakuja kwa Kasi sana
JibuFutaFree pod 4 ni Kali sana, Lazima ninunue
JibuFutaInauzwaje?
JibuFutaTsh 120,000/=
JibuFutaMawasiliano 0673974292
Nan mwenzang
Futa👏👏
JibuFuta110000
FutaMamb
JibuFutaNmeinunua Leo, Iko vizuri balaa! Iyo case yake sasa 🔥🔥🔥
JibuFutaChapisha Maoni