SIYAKUACHA IKUPITE JIPATE NA INFINIX

 Nakujuza kama haukuwa unajua Mwezi wa Nane ni Mwezi wa Kampuni ya simu za mikononi @infinixmobiletz katika kusheherekea Mwezi huu kampuni hii pendwa inayofanya vizuri na toleo jipya la Infinix Note 30 ilizindua promosheni ya ‘JIPATE NA INFINIX’ kwa Mikoa yote nchini Tanzania, ambapo ukinunua simu za Infinix basi moja kwa moja unanufaika na zawadi za papo hapo lakini pia unajiweka katika nafasi ya kujishindia Piki piki, Jokofu au Laptop ya kisasa.

Huenda zawadi ni kitu kilichozoeleka lakini je unalifahamu hili kuwa Infinix ina KUKOPESHA BILA YA RIBA simu hii kabambe ‘Infinix Note 30’ kwa kipindi cha Miezi Mitatu na huduma hii ni kwa kipindi hiki tu cha ‘JIPATE NA INFINIX’

Infinix Note 30 ni simu yenye sifa nyingi za kuvutia lakini pia inaunafuu mkubwa wa bei ukitembelea katika maduka yao kwa bei ya Tsh. 585,000 tu iwe kwa mkopo au kwakulipia papo hapo hii ndio bei ya simu hii kwa sasa.

Features kubwa ambayo inapatikana katika simu hii ni feature ya Fast charge, Note 30 ina Watt 33 lakini inajaza chaji simu kufikia asilimia 70 kwa muda wa dakika 30 tu lakini pia ukiichaji kwa dakika 5 inauwezo wa kudumu na chaji kwa masaa mawili huku ukiendelea kuitumia kwenye matumizi kama games, video, music n.k

Note 30 inanafasi kubwa la kuhifadhia kumbukumbu ambalo ni GB 256Rom na GB 8Ram na inaweza kuongezeka hadi kufikia GB16 kwa upande wa camera Note 30 inaselfie camera ya Megapixel 16 na nyuma Megapixel 64 zinapiga picha ang’avu na zenye rangi halisi.


Kwa nje imepambwa vizuri na material ya glass pamoja na leather na wembamba wake unaleta vibe ya iphone lakini ni simu ambayo inamvuto wake wa kipekee na Mwezi huu ilitangazwa kuwa simu bora katika kipengele cha BEST Product Design/Media and Home Electronics katika Tuzo za Paris Design Awards 2023.


Tembelea maduka ya simu mikoani kote ili kujipatia simu hii na nyingine nyingi kutoka kwa kampuni yako ya kisasa, matoleo mengine yaliyopo kwenye promosheni ni Hot 30 series, Smart 7 na Zero ultra pia weka notification jumamosi hii droo ya kwanza itachezeshwa kuwapata washindi wa Jokofu na zawadi nyingine.

Kwa huduma ya haraka tembelea @infinixmobiletz au piga 0659987284

#TechLazima



8 Maoni

  1. Infinix note30 VIP заряда батареи не хватает на 8 часов работы. Потом опять необходимо заряжать телефон. 😭

    JibuFuta
  2. How much please

    JibuFuta
  3. Please release new software update for Note 30 VIP i really need Auto Calls Recoding for Business this is important for this device here in the Philippines,. I already use alternative phone call recordings but still not working..,

    please do something..

    JibuFuta
    Majibu
    1. @infinixmobiletz @infinixglobal

      Futa
  4. 反火山難月木十

    JibuFuta
  5. Батарея на телефоне Infinix Note30 VIP очень быстро разряжается. Старый телефон Vivo v17Neo который давно уже не выпускают и то держит заряд батарейки дольше чем этот Infinix Note 30VIP.
    Расстроен этим телефоном.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi