Whatsapp sasa inaruhusu kua na account zaidi ya moja kwenye whatsapp Moja.


 Sasa WhatsApp inaweza kutumia Account mbili kwenye simu Moja kwenye simu zilizotolewa hivi karibuni kwa maana zinakuja na uwezo wa ku-clone App.


Ntaelezea kwa namna simu za Xiaomi, Samsung,Vivo, Infinix,Tecno, Oppo, Huawei, Honor, OnePlus na Realme zinaviweza kuruhusu kutumia account mbili bila kudownload Parallel App.

Watumiaji wa Xiaomi
Nenda Settings > Apps > Dual apps.

Watumiaji wa Samsung
Nenda Settings > Advance features > Dual Messenger.

Watumiaji wa Vivo, Infinix,Tecno
Nenda Settings > Apps and notifications > App Clone.

Watumiaji wa Oppo
Nenda Settings > App Cloner.

Watumiaji wa Huawei na Honor
Nenda Settings > Apps > App twin.

Watumiaji wa OnePlus
Nenda Settings > Utilities > Parallel Apps.

Na watumiaji wa Realme
Nenda Settings > App management > App cloner.

Baada ya hapo nenda Settings Chagua kama ni App Clone, Dual App au Twin App kulingana na simu yako Kisha utaruhusu whatsApp Kisha baada ya mda kadhaa utarudi home screen na kuona WhatsApp ni mbili tayari na mpya itakuwa na kialama kuonesha ni pacha ifungue na Kisha sajili WhatsApp mpya kwa account ya pili kwa kutumia namba nyingine.

Tafadhali Acha maoni yako kwenye Comment na kama umweza au unapata changamoto yoyote kwenye kufanikisha setting hizi pia unaweza kutuambia kwenye Comment.

8 Maoni

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi