Leo tutaangaza ni namna gani Kampuni ya simu
Infinix imeweza kuwa tishio kwa makampuni kongwe kama Samsung na nyenginezo kwa
kulinganisha bidhaa ambazo zimeingia sokoni mwaka huu na zimekuwa zikifanya
vizuri “Infinix NOTE 12 na Samsung Galaxy A23”.
Vipengele ambazo tutaviangazia ni Ukubwa wa
memory, qualiti ya kamera, utunzaji chaji na ujazaji chaji kwa haraka, CPU kasi
ya processor na ubora wa aina ya display.
TOFAUTI Infinix NOTE
12 V/S Samsung Galaxy A23.
Ø Dislpay - Infinix NOTE 12 ni AMOLED inch6.7 / Galaxy A23 ni PLS LCD inch
6.6.
Infinix NOTE 12 na Galaxy A23 zinawigo
mzuri wa kioo unaweza angaza matukio mbalimbali kupitia simu yako kwa nafasi ya
kutosha isipokuwa kwenye aina ya kioo AMOLED ndio kioo bora kwa sasa sababu
kinautajiri wa rangi hivyo picha ama video huonekana kwa qualiti ya hali ya juu
kulinganisha na kioo cha PLS LCD kilichopo kwenye simu hii ya Samsung A23
lakini vile vile AMOLED inasaidia uwasilishaji wa taarifa kwenye CPU kufika kwa
haraka zaidi hii husaidia pia mfumo wa utumizi wa chaji kwa mdogo.
Ø Memory Storage – Infinix NOTE 12 ni 128Rom + (8Ram+5Ram) / Galaxy A23 ni
128Rom + 6Ram.
Simu hizi mbili zinashabihiana upande wa ROM
isipokuwa zinatofauti ukubwa ya RAM. Rom ni chumba cha kuhifadhia kumbukumbu na
RAM huipa program/application ni mahali pakuhifadhi na kufikia taarifa kwa muda
mfupi ili simu iweze kufanya mfumo wa uendeshaji mawasiliano kuwa wa haraka, kwa
mujibu wa uwezo wa Ram wa simu hizi mbili Infinix NOTE 12 inauwezo mkubwa kwa
kuhifadhi taarifa nyingi zaidi ukilinganisha na Galaxy A23 na hii inafanya
hatari ya kustuck kwa simu ya Samsung Galaxy A23 kuwa kubwa.
Ø Fast Charging Watt- Infinix NOTE 12 ni 33Watt / Galaxy A23 ni 25Watt.
Simu hizi mbili zinaujazo sawa wa battery zote
zikiwa na mAh5000 isipokuwa tofauti ipo kwenye teknolojia iliyotumika kuchaji
simu NOTE 12 ina watt 33 inakuchukua lisa limoja kasoro kujaa asilimia 100% na
Galaxy inakuchukua lisaa na zaidi kujaa asilimia 100%. Muda ni muhimu sana
zingatia unapofanya maamuzi ya kununua simu.
Ø Camera – Infinix NOTE 12 selfie 16Mp / Galaxy A23 selfie 8Mp.
Kamera ya NOTE 12 ni bora mara mbili ya camera
ya Galaxy A23. Selfie camera zimekuwa zikipendelewa sana hasa na wakina dada
hii inawapa wepesi wakujichukua picha wenyewe pasipo kumsumbua mtu mwengine
lakini ili kuweza kufurahia picha yako kwanza zingatia Pixel za kamera zisiwe
chini ya Megapixel 16. Sijaongelewa kamera ya nyuma sababu zinashabihiana ni 50
kwa simu zote mbili.
Ø CPU – Infinix NOTE 12 processor G96 / Galaxy A23 processor SD680
NOTE 12 inatumia Mediatek G96 na A23 inatumia
snapdragon 680 zote ni CPU nzuri na zenye kasi isipokuwa kama wewe ni mpenzi wa
games basi Infnix NOTE 12 inakufaa zaidi kufurahia games. Mediatek ni processor
nzuri sana na yenye kasi ikija kwenye games kulinganisha na snapdragon.
Ø upatikanaji
Infinix
NOTE 12 inapatikana kwa bei ya shillingi 490,000
na kwa mujibu wa mtandao wa kijamii @infinixmobiletz katika kipindi hiki hadi
tarehe 9Septemba ukinunua NOTE 12 unajiweka katika nafasi ya kujishindi DSTV
decorder, laptop, Smart TV au NOTE 12 vip mpya na Samsung inapatika kwa bei ya
sh. 515,000 za Kitanzania.
Tupigie kwa
namba hii 0743558994 na
utuambie ungependa kujua nini kuhusu teknolojia.


Huwezi fananisha samsung na infinix ..samsung ina qualit ya hd kwenye picha no stack kwenye function cyo km infinix..
JibuFutaKiukwer inifinx ni sm nzuri sana tofauti na sm nyingine kwa hapo samsung na inifinx uwezi kutofautisha endapo zitakuwa azina majina
FutaTATIZO KWA SANSNG HAIKAI MOTO
JibuFutaInfinix ndio sim nzuri zaidi yenye maitaji mtu anataka km camera nzur kudum na chaj nk naipenda infinix
FutaTatizo ya Samsung ni chaji unakula sana , naomba muboleshe beteli yake.
FutaKazi nzuli na mm nitakuwa mmoja wapo kutumia infinix
JibuFutaNaitumia na sitohama iphinix ni kiboko
JibuFutaMe binafsi natumia infinix hot 7 na ni nzuri
JibuFutaI love u Infinix mko poaa saaaanaaaa
JibuFutaInfinx Iko poa kuliko
JibuFutaعمل جميل جدا
JibuFutaInfinix kiboko wala sihami huko
JibuFutaNatumia Infinix hot 10 lite naikibali sana na sihami!!!!!!!!!!
JibuFutaChapisha Maoni