Fahamu sifa kuu za infinix Zero Ultra 2022

Kama haukuwa unafahamu Infinix ZERO ULTRA 5G imeshatua katika soko la simu nchini Tanzania hivyo basi leo tutaiangaza kiundani kwa kuidadavua kila feature ya simu hii.



FAST CHAJI WAT 180

Kwanza kabisa simu hii hukupa utendaji mzuri kwa bei nafuu, kimuonekano na kiufanisi ni bidhaa nzuri kwa vijana wa kisasa. Ukweli usiopingika inauwezo mkubwa wa kupitisha chaji kwa dakika 12 mbili tu kwa simu iliyokwisha kabisa kufikia asilimia 100, kwa mujibu wa tovuti mbalimbali hii ndio simu ya kwanza duniani kuja na fast chaji ya wat 180 na kuthibitishie uhodari huu wa kuchaji kwa haraka si wa muda tu bali ni milele pale tu unaporuhusu kitufe cha FURIOUS MODE wakati wa kuchaji.


CAMERA MEGAPIXEL 200 na OIS.

Kingepengele cha kamera nacho ni yakinifu Megapixel 200 pamoja na teknolojia ya OIS, 4k kwa 30fps hadi 60fps kwa resolution ya 1080. Teknolojia hii ya OIS utendaji mkuu wa feature hii ni kuimarisha picha ambayo itachukuliwa katika hali ya mtikisiko. Infinix ZERO ULTRA ni simu aminifu kwa vijana ambao kazi zao zinategemea kamera, kamera ya mbele na nyumba kwa pamoja zinauwezo wakupiga picha au kuchukua video kwa wakati mmoja.

 

MEDIATEK DIMENSITY 920

Infinix imeweka ZERO ULTRA na kichakata kazi cha Mediatek Dimensity 920 6nm 5G kwa utendakazi ulioboreshwa, muunganisho wa kuwezesha WI-FI 6, 5G SIM na Erdal Engine 3.0 kwa matumizi ya kuaminika na yenye nguvu kwenye mitandao na uchezeshaji wa games ikiunganishwa na Rom ya GB 256 kwa matumizi ya uhifadhiji kumbukumbu na Ram ya GB 13 ikiiwezesha ufunguaji wa application nyingi kwa wakati mmoja.

 

3D AMOLED DISPLAY 120HZ

Umbo la 3D lenye muonekano wa kuvutia kama ilivyo kwa simu za Samsung S series, kioo cha inch 6.8 FHD+ AMOLED na refresh rate 120Hz resolution 2400*1080 huonyesha muonekano salama na wakuvutia katika uangalizi wa picha, video na application nyingine zote kwa ujumla ni simu imarika kabisa kwa kijana mwenye kuitumia simu kama kitendea kazi katika shuhuli za masomo na kiofisi.

 

NDANI YA BOX

utapata nyaraka Fulani, Klabu ya X-Gold ya dola moja, kebo ya aina ya C ‘type c’ ya 3.5mm, pini na kichwa cha chaji cha wat 180 pamoja na simu yenyewe.

 

WARRANTY

ZERO ULTRA imekuja na ukadiriaji wa ufasaha wa TUV SUD wa miezi 36, kumaanisha kuwa watumiaji wana uhakika wa miezi 36 ya ubora kamilifu.

 hizi nichache kati ya zilizo nyingi kutoka kampuni hii ya simu chakufanya endelea kutembelea kurasa za zoom tech kwa taarifa kamili juu ya updates zote za infinix na simu zake.

kwa maelezo zaidi pia unaweza kupiga number +255 712 602 970 kufahamu kuhusu Infinix zero ultra



 

 

 

19 Maoni

  1. Majibu
    1. Ni 1500000

      Futa
    2. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  2. Simu nzuri sana hii, ni shiling ngapi?

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  3. Namini ikopoa na itanivutia sana

    JibuFuta
  4. Shingap hiyo simu mbona kama n fire

    JibuFuta
    Majibu
    1. Shingapi hiyo sim

      Futa
    2. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  5. Nataka nihame kwenye Note 11 Pro ebu taja bei ikoje aisee

    JibuFuta
    Majibu
    1. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  6. Majibu
    1. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  7. Majibu
    1. Mkuu inapatikana kwa bei ya kuanzia 1.3M mpaka 1.5M

      Futa
  8. Kiukweli nimefurahishwa Sana na simu hyo hususani chaji yake 🤗🤗

    JibuFuta
  9. Simu nzur xana lkn bei mbili tofauti hii imekaaje ufafanuzi tafadhari.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Bei mue mnazielekeza kwaulefu tukajua Zaid kuliko ivyo mnavyo fanya

      Futa

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi